Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
UPDATE.....Mkumbo amekiri kushiri kuandaa waraka kwa siri na alipogundulika akakubali kosa na kuomba mujiuzulu ila chama kikamkatalia. tamko laka rasmi linafuata punde
 
haka ka uzi hata habari bado ila comments kibao.leo. ndio mwisho wa ubaya na akiongea pumba tu imekula kwake mazima
 
Hujambo na karibu.katika mtiririko wa zitto kabwe na kitila mkumbo kwa vyombo vya habari.

Habari kufuatia muda si mrefu.
Karibu.
Updates""
Waandishi wa habari kutoka vituo mbalimbali, Wamekaa katika nafasi Muhimu, Ili kuchukua picha.

sawa Mkuu tunakusubiri utupe news wengine tuko mbali na Nchi yetu kimwili..

Lakini hatupendi kukosa habari za nyumbani :)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom