Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TeamZitto, Nov 24, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TeamZitto

  TeamZitto Member

  #1
  Nov 24, 2013
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA

  ===========

  Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA

  http://youtu.be/8HAPGQ0GkZA
  [video=youtube_share;8HAPGQ0GkZA]http://youtu.be/8HAPGQ0GkZA[/video]
   
 2. N

  Nusumkate Member

  #61
  Nov 24, 2013
  Joined: Sep 21, 2013
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa wakati unaandika yanayojiri fanya EDITING ya post ya kwanza.
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #62
  Nov 24, 2013
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Upo CDM kwa sababu ya flani yupo CDM, pole sana kwa kushindwa kujitambua.
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #63
  Nov 24, 2013
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,992
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Ana cheo gani CHADEMA ameshakuwa sisimizi.
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #64
  Nov 24, 2013
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,484
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  acha ushambenga,hamna kitu kama hicho
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #65
  Nov 24, 2013
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Acha utani ndugu
   
 7. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #66
  Nov 24, 2013
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 826
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Siyo Kigoma tu dada Arushaone, karibia kila mkoa wanachana bendera za NGO.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #67
  Nov 24, 2013
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 9,248
  Likes Received: 2,938
  Trophy Points: 280
  VIONGOZI wa harakati za wanyonge wanakutana na hadhira kwenye hoteli ya Nyota Tano ya Serena...kuelezea mkakati wa kutetea wanyonge....tunawasikiliZA....ni vema kusikia pande wa Pili
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #68
  Nov 24, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 19,236
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  mbona kimya au bado yupo kuandaa tamko.!!
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #69
  Nov 24, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 19,236
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  mbona kimya au bado yupo kuandaliwa tamko na TISS. !
   
 11. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #70
  Nov 24, 2013
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  UPDATE.....Mkumbo amekiri kushiri kuandaa waraka kwa siri na alipogundulika akakubali kosa na kuomba mujiuzulu ila chama kikamkatalia. tamko laka rasmi linafuata punde
   
 12. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #71
  Nov 24, 2013
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 816
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  clouds fm mbona hakuna mkuu hiyo kitu


  sor nimeipata mkuu
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #72
  Nov 24, 2013
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 9,248
  Likes Received: 2,938
  Trophy Points: 280
  Hii radio ya wafu maarufu kwa kurusha live mkutano ya CCM na kuandaa birthdays ......wametokana wapi na kiongozi wa wanonge"? Connect dots
   
 14. CHAMVIGA

  CHAMVIGA JF-Expert Member

  #73
  Nov 24, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 7,694
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Oyooyooyoooo kamanda zito taifa linakusikiliza wewe.
   
 15. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #74
  Nov 24, 2013
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,484
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  haka ka uzi hata habari bado ila comments kibao.leo. ndio mwisho wa ubaya na akiongea pumba tu imekula kwake mazima
   
 16. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #75
  Nov 24, 2013
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,960
  Likes Received: 7,722
  Trophy Points: 280
  Kazskani bila Zitto ni MSONDO bila GURUMO
  CC: Mungi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. MR PAUL SADOCK

  MR PAUL SADOCK Member

  #76
  Nov 24, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kuna tv station yoyote inayorusha hilo tukio live
   
 18. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #77
  Nov 24, 2013
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole! ni kipi kimekusukuma kuandika hivi?
   
 19. k

  kibwaso JF-Expert Member

  #78
  Nov 24, 2013
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 627
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni shangwe kubwa kwa CCM
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #79
  Nov 24, 2013
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,544
  Likes Received: 1,530
  Trophy Points: 280
  ya msoga
   
 21. prs

  prs JF-Expert Member

  #80
  Nov 24, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 1,596
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  sawa Mkuu tunakusubiri utupe news wengine tuko mbali na Nchi yetu kimwili..

  Lakini hatupendi kukosa habari za nyumbani :)
   
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...