#COVID19 Taarifa za vifo vya Covid-19 zinatia shaka

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani.

Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine.

Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni mgonjwa!! Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya walioambukizwa virusi vya Corona ni wazima wa afya njema. Ikatokea akaugua ugonjwa mwingine na akafa wanahesabu ameuawa na Corona.

Wanafanya hivyo makusudi ili kujenga hofu ili watu wakubali chanjo ya Corona ambayo inasemekana itatumika kupandikiza chip ambayo itamfanya mtu atawalike Kama robot Fulani hivi.

Inasemekana Kuna shinikizo la kutaka watu wachanjwe vinginevyo mtu hataruhusiwa kutumia baadhi ya huduma Kama vile usafiri wa ndege kwa baadhi ya mashirika, kukataliwa manunuzi kwa baadhi ya supermarket nk!

Sisi Watanzania tunapaswa kumshukuru Sana Mungu kwa kutuepushia balaa hili la Corona na kutuepushia hila hizi za watu waovu!

Huko ulaya na marekani lockdown zimeanza upya kwa Kasi zaidi.
 
Kwa hiyo hiyo chip inakuwa katika hali ya kimiminika na kuweza kupenya kwenye tundu la sindani au chanjo inawekwa kwa punching machine?
Hiyo ni micro-chip! Ni ndogo kiasi Cha kutokuonekana kwa macho na inaelea kwenye kimiminika.
 
Tunajengaje hofu sasa wakati tumepitia kipindi kigumu cha Corona huko nyuma tukavuka..? Mtz chukua tahadhari ... ! Na sio hofu..!
 
"Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi mengine" Hii ilikuwa kauli tata sana maana hayo maradhi mengine huambiwa wewe unaambiwa tu kafa kwa corona.
 
Back
Top Bottom