Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,343
5,536
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.

Source: Radio One.
 
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.

Source: Radio One.
Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.

WE TRUST YOU DR nina uhakika hata wana Igunga wanakuamini na hawatakuangusha kwani wewe unasimamia HAKI na kawaida haki huwa haidhurumiki wala kuinunuliki kwa muda wote.
 
Safi sana, na ingependeza mno uzinduzi wa kampeni kwa vyama vyote ungefanyika kwa siku na muda mmoja ili kupima ni nani zaidi! Naamini uwingi wa wahudhuriaji ungekuwa hivi:
1. CHADEMA
2. CUF
3. CCM
4. ....
5. .....
6. ......
 
Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.

WE TRUST YOU DR nina uhakika hata wana Igunga wanakuamini na hawatakuangusha kwani wewe unasimamia HAKI na kawaida haki huwa haidhurumiki wala kuinunuliki kwa muda wote.

Ndiye rais wetu 2015 piga ua.
 
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.

Source: Radio One.

Kichwa cha Dr Willbroad Slaa ni vichwa mia 500 vya akina Mkapa na wenzake.....kama kuna mtu anabisha subirini muone.........Bravo Dr wa ukweli.Maana kuna jamaa anaitwa Dr wakati hata GPA yake ya Bachelor inasheki...................
 
Ukweli hapa igunga CCM ndie mshindi.Nimeshauri chama changu kisisimamishe mgombea kuondoa aibu inayokuja wapi,viongoz vichwa ngumu.Igunga nzima hata huyu diwan wa pekee CDM anatuhujumu kimyakimya kwa kumfagilia DALALA KAFUMU.Slaa dr wangu utajishushie sifa zako.
Kuwa mwanachama wa CCM na kuipigia kura CCM ni mambo mawili tofauti. Ulishaambiwa kumpigia mbuzi gitaa ni kazi bure ila wewe subiri muziki huu wa sasa hata kondoo atanengua.
 
Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.
WE TRUST YOU DR nina uhakika hata wana Igunga wanakuamini na hawatakuangusha kwani wewe unasimamia HAKI na kawaida haki huwa haidhurumiki wala kuinunuliki kwa muda wote.
Kwa hiyo wewe Mbowe au Lema hakuna unaemuamini?
 
Elungata nina anza kupata wasiwasi wako na uelewa wako kwani maneno unayoongea katika JF hayana maana hayana msingi,zungumza kwa point,ama huwaoni ma (drs)uchwara walioshindwa kazi?
 
CCM , ni mbwa mtu. wanajifanya kondoo kumbe ndani kwao dog tu.

Igunga haikuwahi kuwa na gari la maji ya kuwasha, lakini kwa vile CCM wanataka ushindi si kwa sera bali kwa vitisho na dhuluma. Tayari wamepeleka gari la maji ya kuwasha huko igunga, na limekuwa likipitishwa mitaani ili kuwaogofya wananchi wasisimame katika haki. hali hii inatisha kabisa.

Ninachowaasa wananchi wa Igunga, wasiwe na shaka, wapige kura kwa utulivu ili CCM wakose sababu.

NAWACHUKIA CCM
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom