Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatafuta na kuwatafutia wengine ban, huwezi kuandika kistaarabu?huh..?..........
Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.
Source: Radio One.
Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.
WE TRUST YOU DR nina uhakika hata wana Igunga wanakuamini na hawatakuangusha kwani wewe unasimamia HAKI na kawaida haki huwa haidhurumiki wala kuinunuliki kwa muda wote.
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.
Source: Radio One.
huh..?go to hell dr uchwara
anaenda kufungua mkutano wa biblia au??
<br />anaenda kufungua mkutano wa biblia au??
huh..?go to hell dr uchwara
U Dr hakuvishwa kama nishani kaka..sometimes think before comments
<br />huh..?go to hell dr uchwara
Kuwa mwanachama wa CCM na kuipigia kura CCM ni mambo mawili tofauti. Ulishaambiwa kumpigia mbuzi gitaa ni kazi bure ila wewe subiri muziki huu wa sasa hata kondoo atanengua.Ukweli hapa igunga CCM ndie mshindi.Nimeshauri chama changu kisisimamishe mgombea kuondoa aibu inayokuja wapi,viongoz vichwa ngumu.Igunga nzima hata huyu diwan wa pekee CDM anatuhujumu kimyakimya kwa kumfagilia DALALA KAFUMU.Slaa dr wangu utajishushie sifa zako.
Kwa hiyo wewe Mbowe au Lema hakuna unaemuamini?Wakuu naomba niwaambia ukweli wangu kuwa kwa sasa hivi - mtu mmoja ninaye emwamini ni DR. SLAA. NA huu ndiyo ukweli wangu toka rohoni.
WE TRUST YOU DR nina uhakika hata wana Igunga wanakuamini na hawatakuangusha kwani wewe unasimamia HAKI na kawaida haki huwa haidhurumiki wala kuinunuliki kwa muda wote.