Siku nyingi SanaHivi huyu jamaa kashaamzika babaake maana maiti ina zaidi ya miaka miwili na wiki mbili zilizopita imerejeshwa Kongo lkn sijasikia mazishi
Hahahaha, ujio huu sio kilio kwa Kenya tu hata Zambia piaKenya imesha tuma mamluki wake kuja kuangalia nn kinacho jiri... Magufuli anageuza meza juu chini, mizingo yote na madeal yote walio kubaliana na kenya yanachukuliwa na Tanzania.... Wakenya mkileta ujinga tutatuma kikosa mpakani
Mkuu siku nyingi sana lini maana karejeshwa kongo majuzi tuSiku nyingi Sana
Hayo majuzi aliyorejeshwa ndio alizikwa MkuuMkuu siku nyingi sana lini maana karejeshwa kongo majuzi tu