Taarifa za ugeni wa Rais wa Congo DRC nchini Tanzania

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
500
Rais John Magufuli leo Juni 13 anatarajia kumpokea wa RAIS wa Congo DRC, Felix Tshisekedi ambaye anakuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
1126200
 

Attachments

 • congo.png
  File size
  91.4 KB
  Views
  19
 • NEWW.JPG
  File size
  58 KB
  Views
  30

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,326
2,000
Hivi huyu jamaa kashaamzika babaake maana maiti ina zaidi ya miaka miwili na wiki mbili zilizopita imerejeshwa Kongo lkn sijasikia mazishi
 

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,265
2,000
Kenya imesha tuma mamluki wake kuja kuangalia nn kinacho jiri... Magufuli anageuza meza juu chini, mizingo yote na madeal yote walio kubaliana na kenya yanachukuliwa na Tanzania.... Wakenya mkileta ujinga tutatuma kikosa mpakani
 

mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
21,002
2,000
Kenya imesha tuma mamluki wake kuja kuangalia nn kinacho jiri... Magufuli anageuza meza juu chini, mizingo yote na madeal yote walio kubaliana na kenya yanachukuliwa na Tanzania.... Wakenya mkileta ujinga tutatuma kikosa mpakani
Hahahaha, ujio huu sio kilio kwa Kenya tu hata Zambia pia

Pale sumbawanga panafunguliwa port , kisha mchakato wa kuondoa Visa Tanzania na RDC unaanza

Maana wafanyabiashara wa RDC wanalalamika sana kuhusu Visa walipe Tanzania, walipe Zambia ,pia kupitia Zambia mzunguko mkubwa

Kilichobaki ni kufungua pale sumbawanga ,wanavuka wanaingia Katanga

Ushauri unaendelea kuzingatiwa

Bado ATCL kuanza route RDC
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,637
2,000
Iwapo tutaamua kama nchi kuutumia utajiri unaopatikana DRC kupitia biashara na mikataba mbalimbali, hakika kama nchi tutapiga hatua kubwa kimaendeleo.

Nchi imebarikiwa kila aina ya raslimali halafu hazina mwenyewe! Nasikia Wachina na makampuni mengine ya kigeni yameweka kambi huko! Ni mwendo wa kubadilishana silaha na waasi kwa madini na malighafi nyingine. Waafrika bwana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom