Taarifa za Ngwechele wa Mwanza imezidi kufichua ukweli wa sakata la Zitto Vs Kamati kuu CHADEMA

Kwanza kitendo cha Zitto na Kitilla kuwakosa makamanda wa CHADEMA siku aliyofanya press conference na kuwakodi uvccm, na kitendo cha matamko yanayotolewa na wanaojibambikia vyeo ambavyo havipo chadema ni kufilisika kisera kwa Zitto Kabwe na CCM aliyokuwa anakiwakilisha kukihujumu CHADEMA.

Yaani sijaona mtu asiejitambua hapa jamvini kama wewe na yule mtoto wa nyerere wakufikia,na mtembeza sumu,ujana mnakuwa hivi mnatumiwa kama mipira ya kikubwa, mkizeeka mtakuwa wachawi,maana hamlali mkisikia jina la Zitto akili zinawaruka
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kitendo cha Zitto na Kitilla kuwakosa makamanda wa CHADEMA siku aliyofanya press conference na kuwakodi uvccm, na kitendo cha matamko yanayotolewa na wanaojibambikia vyeo ambavyo havipo chadema ni kufilisika kisera kwa Zitto Kabwe na CCM aliyokuwa anakiwakilisha kukihujumu CHADEMA.
Mkuu, mbona akina Yeriko Nyerere, Ben MIDA EIGHT, Kalley Pandukizi na wengine wanafanya kazi kwenye Kitengo cha Ujasusi ambacho hakimo ndani ya katiba ya chadema? Kuhusu hilo una kauli gani?
 
Kumbe upo??

Vichwa vya TZ Daima mbona husemi!!! mkuki kwa nguruwe...
Nilitegemea atatokea mtu kutetea uwepo wa cheo cha 'Mwenyekiti wa Matawi', badala yake inatokea hoja ya kusema 'Mbona hata gazeti fulani linaandika vile'! Hizi hoja za kutetea kitu kwa kulinganisha au kufananisha na udhaifu mwingine huwa nazishangaa sana. Ni sawa na mtoto ameiba hela nyumbani, akaulizwa kwa nini ameanza tabia mbaya. Badala ya kujibu hoja ya tabia yake mbaya, naye anasema "mbona mtoto fulani naye aliiba kwao na hasemwi" !! He he hee, naona jamaa hapa amejibu hoja kitoto kabisa
 
Kwanza kitendo cha Zitto na Kitilla kuwakosa makamanda wa CHADEMA siku aliyofanya press conference na kuwakodi uvccm, na kitendo cha matamko yanayotolewa na wanaojibambikia vyeo ambavyo havipo chadema ni kufilisika kisera kwa Zitto Kabwe na CCM aliyokuwa anakiwakilisha kukihujumu CHADEMA.

Hivi hawa makamanda wa CDM ambao wengine hata scout hawajawahi kupitia inakuwaje? wenye taaluma yao ya ukamanda wanajisikiaje wanapoona wengien wasiostahiki wanajipa vyeo vyao?
 
Watashindana lakini hawatashinda!

Chadema ipo kwa mpango wa Jah
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
ukweli uliowazi chadema akili hawana. yaani wanashndwa kutambua kabisa mbinu za ccm? haki sikio la kufa haliskiii dawa.
ccm lazima washangilie saana huu mgogoro na lazima wajiweke karibu na zitto ili nyie mjinga mjue kua wanaomboleza kumbe wao lengo lao mmfukuze zitto ili mpate kugawanyika na sasa hvi tayari mshaagawanyika yaani haihitaji akili kubwa ni akili ndogo tu kama zenu unaweza jua.
 
Mtu ambaye ni kiongozi wa Chadema anasema, cheo kama hicho hakipo, magazeti yangeweza kuuliza Chadema kupata upande wa pili wa habari, hayakufanya hivyo bali yameandika habari za mtu mwenye cheo feki, wewe unaongelea propaganda kwa jambo ambalo liko wazi kabisa !

Hata kama ni propaganda, angalau ziwe zina-make sense angalau kidogo, vinginevyo mtakuwa mnajiaribia kwa kufikiria mnasaidia Chama chenu !

Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
 
kwanzan walio jitokeza adhalani kuandamana ni ndugu zake waishio mwandiga haaaahaaaahaaaaahaaakwel umaalufu wa zitto unaishia Mwandiga
 
Kinachonishangaza ni jinsi walivyopofushwa na chuki zao kwa Chadema mpaka wanashindwa kuona wanachofanya sasa kumwaribia kibaraka wao..

Ukweli ni kwamba magazeti kama Uhuru na Jambo leo ambayo siku zote ni anti Chadema, leo wanapomsifia zitto na kumjenga, kiukweli hawamjengi wanazidi kumharibia bila kujua.
 
Hizo habari hazipo kwenye hayo magazeti ? Hiyo habari si wameiandika kwa kutumia mtu ambaye ana cheo feki ? Kama kitu ni ukweli ni ukweli tu, haubadiliki kwa kuupinga tu, bila kuwa na hoja.

sijawahi kuona aweda aanzishe mada yenye akili. huwa anatabiri tabiri tu vitu vya kijinga
 
Mwaka huu tutasikia Majina ya ajabu ajabu kuanza na NYAKARUNGU! CHATANDA! NGWECHELE baadaye yataibuka NYEREGETE! NYAMBARINYANGWINE! NGALINJE! NYAVYAMO woote watadai ni watu maarufu CDM hebu watuache Tulale!
 
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea

Njaa kali,wachumia tumbo ambao hata ukiwahakikishia buku 5 tu kwa kutwa kama posho wako tayri kuutoa utu wao na kujiabisha
 
Kuna mtu anayeitwa Ngwechele (sijui kama spelling ni sawa) wa Mwanza aliyejiita mkiti wa matawi ya Chadema Mwanza ambaye taarifa zake zimeteka ukurasa wa Mbele wa magazeti ya Rai, Jambo Leo, Uhuru na Majira siku ya Leo.

Huyu ni mtu ambaye hajulikani kabisa lakini ameteka vichwa vya magazeti hayo kuliko hata mbunge mwenye jina. Ukweli ni kwamba, kwa muda wa karibu miaka 10 nikiwa kiongozi wa chadema sijawahi kusikia hata siku moja cheo cha m/kiti wa matawi ya chadema mahali po pote. Kiufupi hakuna kitu kama hicho. Huu ni usanii wa kulazimisha chanzo cha habari cha magazeti tajwa kwa maslahi yao.

Maswali ya kujiuliza.
Je, kwa nini magazeti yenye mlengo wa kiccm yaandike habari hii ya Chadema kwa kiasi hiki tena kwa kulazimisha chanzo (source) ambayo haipo kwa mujibu wa katiba ya Chadema??

Pili, Je, magazeti haya lenye mlengo wa kiccm kuendelea kuandika habari hii kwa nguvu zote inatupa picha gani kwa mwanachadema anayetumia akili yake kufikiri?? Nikisema hii ni ishara ni ukweli wa kuumia kwa ccm nitakosea au ndo ninazidi kuweka ukweli uliojificha hadharani!

Je,Kitendo cha hawa wenye malengo yao kushindwa kupata m/kiti halali wa chadema wa kijiji/mtaa, kata au wilaya au mkoa wa kutoa kauli hiyo na badala yake wakaibua chanzo feki na kukipa cheo kikubwa ambacho hakipo ndani katiba ya chadema, siyo ishara ya umoja kwa wanachadema wote katika sakata hili??

Nihitimishe kwa kusema kuwa malalamiko ya makada wa ccm Nape Mwigulu na wengineo na kitendo cha magazeti yanayomilikiwa na wanaccm kushupalia jambo hili kiasi cha kutumia chanzo feki na kuiweka ukurasa wa mbele kunafichua ukweli moja tu. Ukweli huo ni ccm imeumizwa sana na uamuzi huu. Binafsi sijajua kwa nini wasishangilie kama ni uamuzi ni wa kuiumiza chadema. Akili za kuambiwa nachanganya na zangu.

Duh! Umepotelea wapi? Or umeibukia wapi? Any way, that's politics, it is about making potholes on someone's else roof for rain to leak in. No rules, ethics or kindness! It's about what trick works so come up with yours before you start floating dead!
 
Zitto anazidi kujizalilisha....ni dhairi zitto hana dhamani tena kwa wasomini na watu wanao jielewa, Zitto kwa sasa anaonekana Mchumia Tumbo.
 
Mwananchi nalo lina malengo ya ki-CCM? Mliopo anza ubaguzi mlitegemea nini? Media imeshawashtukia, single zenu haziuzi.

Yule Jamaa, kasema wazi viongozi wao ni vibaraka na makuwadi wa CHADDEMA KASKAZ ndio maana wameaamua kuanzia umoja wa matawi!

Hakuna kitu kinaitwa umoja wa matawi ya CDM hapa Mwanza.na isitoshe huyo gwanchele alishafukuzwa CDM kitambo kirefu na akahamia ADC.MTAWEWESEKA SANA LAKN CDM IPO NA 2015 INACHUKUA DOLA
 
Back
Top Bottom