Taarifa za mwanzo pin ya bomu na maganda ya risasi tukio la mlipuko Arusha

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha serikali ya China.
 
hizo story ambazo zimekuwa zikisikika kuwa kuna wafanyabiashara ambao wanashirikiana na watawala kuingiza bidhaa nchini kwa ushuru mdogo na saa nyingine bila kukaguliwa zisije zikawa zimejumuisha makontena ya ya risasi na mabomu nasi tunajidanganya kuwa ni kisiwa cha amani!
 
chadema mbona mnaweweseka sana baada ya kusikia chagonja amekabidhiwa rungu
 
Tanzania si salama tena. Na nina hofu haijawahi kuwa salama
 
hizo story ambazo zimekuwa zikisikika kuwa kuna wafanyabiashara ambao wanashirikiana na watawala kuingiza bidhaa nchini kwa ushuru mdogo na saa nyingine bila kukaguliwa zisije zikawa zimejumuisha makontena ya ya risasi na mabomu nasi tunajidanganya kuwa ni kisiwa cha amani!

mtaruka ruka sana chadema lakini kwa hili tukio hamchomoki
 
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu ktk kiwanda husika.
Bidhaa hizi zimekutwa zote zimetengenezwa katika kiwanda kimoja na ni bidhaa zilizowekwa serial numbers za mwaka huu na zinafuatana kwa kupishana degits chache sana, jambo ambalo linadhihirisha kuwa mtupaji/watupaji wa bomu na mpigaji/wapigaji wa risasi za moto ni kundi moja au ni mtu moja.

Mwanajeshi mmoja aliyekuwepo kwenye operation husika ametonya kuwa uchunguzi huu ulifanyika kwa maamuzi yao binafsi baada ya kushangazwa na aina ya Pin inayodhaniwa kuwa imesalia baada ya bomu husika kulipuka kuonekana kuwa ni unique sana tofauti na aina za mabomu waliyoyazoea na wanayoyamiliki kama jeshi. Wamegundua mabaki ya silaha hizi ni bidhaa mpya ambazo bado hazijawahi kutumika katika majeshi ya TZ(hasa bomu husika).

Waliamua kukagua maganda ya risasi za moto na pin husika na kuchukua serial numbers wakaingia kwenye search engines na ndipo wakagundua kuwa bidhaa hizo ni za mwaka huu na zimezalishwa ktk kiwanda kimoja cha serikali ya China.

Substantiate your statements plz.
 
hivi pini inakua na serial number?wanaiandika wapi?
Kwavyovyote hayo maganda ya risasi ni polisi kwani yule mlipuaji hakua na bunduki,sasa iweje useme maganda yana namba ambazo hazitumiwi na majeshi yoyote hapa Tanzania?
 
mwigulu lameck nchemba

kuna uhusiano wowote wa hizo risasi, bomuvilivyotumika arusha na nchi ya china? kama ni kweli je huyo aliyekuwa anavaa sehemu ya sare za jeshi la china ana uhusiano wowote na hiyo milipuko. kama cyo kwa nini hiyo milipuko itokee baada ya yeye kuanza kuvaa hizo sare na si kipindi cha nyuma. wataalam wa situational evidences tufafanulieni hapa.
 
hizo story ambazo zimekuwa zikisikika kuwa kuna wafanyabiashara ambao wanashirikiana na watawala kuingiza bidhaa nchini kwa ushuru mdogo na saa nyingine bila kukaguliwa zisije zikawa zimejumuisha makontena ya ya risasi na mabomu nasi tunajidanganya kuwa ni kisiwa cha amani!
Hakuna kitu kinachoweza kuonekana kwa urahisi katika scanners za mizigo kama ammunitions. Hizo silaha zimeingia kwa utaratibu wa kawaida wa serikali. Hatudanganyiki tena?
 
chadema mbona mnaweweseka sana baada ya kusikia chagonja amekabidhiwa rungu

Chagonja ameshindwa kukamata watuhumiwa wa njama za kumteka na kumwagia sumu Mh. Mwakyembe aliyewapa polisi taarifa za kijaintelejensia za wazi na hadi sasa Afande Chagonja hajafanya kitu.
 
Serikali yoyote inapokosa uhalali wa kuongoza nchi, huwa ina anza kuua wananchi wake hovyo hovyo. CCm imefika mwisho na haina mbinu mpya za kuwashawishi wananchi iendelee kubaki madarakani! 2015 si mbali!
 
Changoja ni mdudu gani tena? wangekuja FBI ningefurahi sana siyo huyo mhuni wa CCM....

Chagonja ameshindwa ya Olasiti, ameshindwa ya Dr.Ulimboka, ameshindwa ya Kibanda, ameshindwa ya Padri Mushi, bila shaka yajayo yote atashindwa tu. Unasemaje juu ya haya?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom