Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hospitali ya Muhimbili imeboreshwa sana na jemedari wetu rais wa mfano duniani Dk Magufuli.
Bila shaka prof Baregu atapata huduma bora kabisa na akitoka hapo atakuwa balozi mwema wa juhudi za rais Magufuli katika kuboresha maisha ya watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kulia Nini, mwandishi hajasema hospital haikuwepo, amesema Mhe Rais ameiboresha sahivi huduma Safi.hospital ipo kabla hata ya kina Nyerere wewe unatuletea bla bla zako za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app