Taarifa za kuugua kwa Prof. Mwesiga Baregu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
IMG-20190217-WA0062.jpg
 
hospital ipo kabla hata ya kina Nyerere wewe unatuletea bla bla zako za kijinga
Hospitali ya Muhimbili imeboreshwa sana na jemedari wetu rais wa mfano duniani Dk Magufuli.

Bila shaka prof Baregu atapata huduma bora kabisa na akitoka hapo atakuwa balozi mwema wa juhudi za rais Magufuli katika kuboresha maisha ya watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hospital ipo kabla hata ya kina Nyerere wewe unatuletea bla bla zako za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kulia Nini, mwandishi hajasema hospital haikuwepo, amesema Mhe Rais ameiboresha sahivi huduma Safi.

Kama hutaki Basi mpelekeni Ubelgiji au Vietnam maana hapa Tz usiempenda yupo full time Wala hasafiri kwenda Mamtoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugua pole Prof. Baregu. Wewe ni moja wapo wa Think Tank tegemeo kwa Tanzania ktk masuala ya siasa na economic integration. Hivyo twaomba Mwenyezi Mungu akuponyeshe mapema.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom