Taarifa za kuonekana kwa Ben, na hekaya za "kikaratasi" ofisi za MwanaHALISI

Chadema imekosa uelekeo ...Mnyika anatoa tamko la kupinga ongezeko la bei ya umeme then Kafulila bila kujua Waziri wake kivuli na chama kina msimamo gani anatoa tamko la kuunga mkono bei kupanda ....nini kinaendelea Chadema ....kuna nidhamu kweli?
Tofautisha maoni binafsi na msimamo wa chama, Chadema siyo ccm ambayo wafuasi wake ni fikra mkumbo hawana fikra huru
 
Chadema imekosa uelekeo ...Mnyika anatoa tamko la kupinga ongezeko la bei ya umeme then Kafulila bila kujua Waziri wake kivuli na chama kina msimamo gani anatoa tamko la kuunga mkono bei kupanda ....nini kinaendelea Chadema ....kuna nidhamu kweli?
wasije tu wakasema kwamba mgogoro umeletwa na c.c.m
 
Kikaratasi tu.? Ndio maana niliacha kusoma hili jarida muda mrefu....
 
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime,wakipatana chukua kapu ukavune,hili jambo linanikumbusha Msabah wa CUF miaka ile ya nyuma
 
Hv malisa ni nani??

Anyway
Karibun.CHAUMWA

HASHIMU RUNGWE yupp.fit anahitaji support tuu

CCM na.CDM.wote ni wale wale
 
Ninachojua Gazeti la Mwanahalisi linamilikiwa na Kubenea na Anthony Komu, wote hawa ni Wabunge kupitia Chadema, so kama gazeti ambalo wamiliki wake ni viongozi waandamizi wa Chadema limeandika basi sawa.
ishu ya Ben saa8, kubenea na Antony komu imenirudisha nyuma sana kuhusu kuoelewa chadema
 
Huyu kubenea huenda anatumika na watekaji, polis wamchunguze.
 
ishu ya Ben saa8, kubenea na Antony komu imenirudisha nyuma sana kuhusu kuoelewa chadema

ishu ya Ben saa8, kubenea na Antony komu imenirudisha nyuma sana kuhusu kuoelewa chadema
22681a37e573dbf804bab676cc907cdc.jpg
 
Nafikiri Kubenea ameona hana chake pale Ubungo.
Meya Jacob Bonifas ni mbunge ajaye,msomi wa kada ya Ben na Malisa.
Elimu ya Here and There aendelee kuandika hadithi
 
Back
Top Bottom