hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
Bila shaka walio wengi wanakubaliana nami kuwa kipindi cha nyuma watu walikuwa wanapigana vikumbo au mtu kuhakikisha taarifa ya habari inaitazama kwa hali yoyote ile kwa sababu taarifa zilikuwa zinalenga kujenga hoja bila kugongana na miimili yoyote.lakini taarifa za habari hazina mvuto hata kidogo ukiangalia mkhutasari unaamisha chanel unatamani uangalie mziki au tamthilia.
Pia katika upande wa itv malumbano ya hoja na kipindi cha kipima joto kwa kiasi kikubwa vipindi hivi vimekosa mvuto kwa kiasi kikubwa mno .
Pia katika upande wa itv malumbano ya hoja na kipindi cha kipima joto kwa kiasi kikubwa vipindi hivi vimekosa mvuto kwa kiasi kikubwa mno .