Facts1
JF-Expert Member
- Dec 23, 2009
- 307
- 28
Vigogo sita wa serikali ya Kenya akiwamo Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa watuhumiwa sita waliotajwa kwenye mahakama ya kimataifa The Hague kuwa walihusika katika kupanga vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini humo mwaka 2007.
Yumo pia Waziri wa Viwanda wa Kenya, Henry Kosgey
Waziri wa Elimu aliyesimamishwa William Ruto.
Wengine ni Mwandishi wa habari ambaye pia ni Mkuu wa uendeshaji wa Radio Kass FM, Joshua Arap Sang,
Katibu wa Baraza la Mawaziri, Francis Kirimi Muthaura,
na Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, Mohammed Hussein Ali.
Viongozi wetu wakiwemo wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wanajifunza kitu gani kutokana na taarifa hii au wanafikiri haiwezi kutokea Tanzania?