Taarifa ya Said Mkumba, Mbunge wa Sikonge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya Said Mkumba, Mbunge wa Sikonge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kupelwa, Jul 20, 2012.

 1. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  nimeona kwenye runinga wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya kilimo , mbunge kafulila alipokuwa akichangia, alitamka ndani ya bunge kuwa bajeti ya mwaka huu ya wizara ya kilimo ni ya kizee.ndo akaibuka mkumba na ngojera, badala ya kanuni ya kuondoa lugha ya kuudhi kwa kutumia kifungu kinachotakiwa akatoa taarifa.Ikumbukwe huyuhuyu mkumba alishawahi kutamka kuwa wanaoona uchungu , waende hosipital wakajifungue, siku hiyo alikuwepo naibu spika wala hakujali.lo naye ati maneno ya kafulila yamemuma ayaondoe.Kulikoni maneno ya kuudhi kwa wapinzani yakuudhi, yake matamu.
   
 2. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ndo yule mbunge mwenye kamwili kadogo kadogo?
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Yule mbunge aliyekuwa mwalimu wa primary school!!!
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi huyu jamaa ni mzima? uwa naona kama afya yake ni mgogoro sana.
   
 5. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuumbe ndo maana hata kanuni hajui, tatizo shule
   
 6. D

  Determine JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatzo langu ni afya yake
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Eti nasikia ana wake 3
   
 8. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  mwenyekti zungu alipomaliza akamhoji kafulila kama ataondoa kauli yake ya bajeti ya kizee, kafulila akakumbushia kanuni iliyotumika ni taarifa , na si kanuni ya 64, ambayo haimlazimishi kuondoa kauli yake, naye akajibu, taarifa mtu anaweza kukubali au kukataa.kafulila alikataa kuondoa kauli yake.mkumba hamnazo ni nazi wa kiccm uchwala, hawa ndo kupingiwa kampeni ya kuwaondoa na M4C
   
 9. Collins

  Collins Senior Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao wote 2015 watakuwa kapuni
   
 10. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maana mwili umekakamaa hivyo.
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunawasubiri 2015...watz wameshajua vikwazo vya nchi ni ccm na wabunge wote na serikali yao ya kifisadi na kijanjawidi
   
 12. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Akienda Zanzibar lazima Uamsho wamtimue maana ni rahisi kumtambua kwamba anatokea bara kwa Chogo alichobeba na kamdomo kalikochongeka kama kigong'ota.
   
 13. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Duuuu, hii mpya, ndiyo naisikia!!
   
 14. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi huyu ndiye yule mbunge ambaye CV yake ililetwa hapa jamvini? Ndiye yule aliyesoma primary miaka 9?
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yeye ameisha jifungua , sijui kama watu wa jimbo lake wanaona
   
 16. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  kwa aibu hata wakati wakuchangia , amesifia hotuba ya upinzani kuwa ni nzuri , kama kujisafisha kwa ujinga wake
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Ha ha ha ha ha ha ha..na kwa afya ile atawamudu kweli? Halafu leo nimeuona hapa Dodoma akiwa CRDB benki mida ya jioni na GX 110 nyeusi akiwa na binti mmoja, sasa sijui ndio mke wake au ndio kama kawaida ya wabunge wa CCM?
   
 18. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,813
  Trophy Points: 280
  Ndo huyo huyo liwahi kulilia posho ili naye anenepe! Alimwambia Mh. DHAIFU aruhusu posho iongezwe kwa vile ameshindwa kunenepa shauri ya posho kuwa ndogo!
   
 19. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,663
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  exactly!
   
 20. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kanakonda kwa kwa kubeba zigo zito(chezEya mhagama weye)lazima ukonde muulize Rwakatale
   
Loading...