Taarifa ya pongezi kutoka CCM kwa ndg Turky kwa utu, upendo na mchango, kuokoa maisha ya Tundu Lissu

huku ni kutapata haaa haaa.. kumbe mwanachama akitoa mchango huandikiwa official letter ya pongezi.. comedian in serious things
 
@HumphreyPolepole
Jua unamchongea Turky kwa 'watu wasiojulikana' ambao kunahisia kubwa wanatoka Chama chako,ambao lengo lao ilikuwa Lissu afe
Sitashangaa jina lake lisirudi uchaguzi ujao
 
Mbona hamkumpongeza akiyetoa taarifa ya kushikiliwa kwa bombardier Canada!!! Na serikali kukiri???!!
 
Huko ni kujipendekeza,kama mnania nzuri mwambieni boss wenu agharamie matibabu yote ya Lissu kwa kutumia kodi za wananchi bila kujali kuwa Lissu anapata matibabu nje ya nchi.
 
Ukweli nikuwa mbunge huyo wa CCM alidhamini upatikanaji wa ndege hiyo. Hilo nijambo jema sana kwani lilisaidia kuokoa maisha ya Lissu hivyo anastahili pongezi. Hata mpinge lakini huo ndio ukweli kuwa hamkuwa na hela na hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.Hela yenyewe ya udhamini mmelipa jana baada ya wiki moja tokea siku ya tukio na mmetoa taarifa kwa vyombo vya habari kelele zanini? Angeamua kutowadhamini ingekuaje!? Serikali ya CCM ndiyo iliyoruhusu ndege hiyo ya kukodi kuingia nchini kwa kutumia anga yake tena bila tatizo,madaktari waliomtibu na kuokoa uhai wake pamoja na Hospital ya Dodoma aliyotibiwa baada ya tukio niya Serikali. Ukweli Hamna hoja ya msingi ila mmezoe kulalamika.
Hongera sana Mhesh Mbunge,Humphrey Polepole na Mhesh Spika kwa kuwaumbua chadema hadharani.
 
Hahahaha kumbe mwanachama akitoa mchango inatolewa taarifa ya chama kumpongeza.
Somebody is trying to make a joke, please laugh
Inategemea kama kuna kiki itapatikana, maana sikuona kwa Nyalandu alivyofanya kwa wale wanafunzi wa Lucky Vicent
 
Back
Top Bottom