Taarifa ya NASA baada ya ushindi wa Uhuru Kenyatta katika Uchaguzi Mkuu 26 Oktoba 2017

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,182
Wakenya wanasubiri kwa hamu mwongozo wa Kinara wa upinzani Baba Raila.

Muungano mkuu wa upinzani nchini kenya NASA umekataa kutambua uchaguzi ambao uhuru kenyatta alichaguliwa kuwa rais mteule. Kiongozi wa muungano huo Raila Odinga ameutaja uchaguzi huo kuwa fedheha na wenye kuligawanya taifa. Kiongozi huyo ambaye hakujibu maswali ya wanahabari amewataka wafuasi wake wajiandae kwa misururu ya maandamano pamoja na kuhujumu uchumi kwa kususia baadhi ya bidhaa za kampuni zinazohusiana na chama tawala cha jubilee. Hayo yanajiri huku viongozi mbali mbali wakitoa wito wa mazungumzo kati ya rais mteule uhuru Kenyatta na Odinga. Kwa mengi zaidi usikose kujiunga nasi katika matangazo yetu ya jioni.

 
Wakenya wanasubiri kwa hamu mwongozo wa Kinara wa upinzani Baba Raila.


Eti atalihutubia Taifa, imenikumbusha Lowasa na chadema!
Raila Odinga bila Muzungu si chochote na safari hii D.Trump amesema ,,USA first” na hana mpango wa kuingikia sovereignty ya nchi nyingine!
Hivyo yeye ajifute jasho na akubali, bila ya support ya Muzungu hakuna Mapinduzi wala Vita Afrika!
 
Odinga should come out and apologize for this idiocy...that was very unfortunate...the media should boycott those stupid press conferences...jamaa anaitisha kikao watu wanasubiri siku nzima kwa hamu, kisha anakuja kutangaza vitu vya kijinga...eti NRM mara sijui boycott newspapers and television networks...Tripple J at work
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom