Taarifa ya Mwaka:Miaka 3 Baadaye... Asanteni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya Mwaka:Miaka 3 Baadaye... Asanteni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 1, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 1, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,382
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Leo Machi 1, 2009 ni miaka mitatu tangu tuanze kuandika kama wanaharakati na kuanza matangazo yetu yenye kujenga hoja mbalimbali. Ni miaka mitatu ambayo imetimia ndani yetu moto wa mwamko mpya ukizidi kuwaka na kuchochewa kila siku kama tanuru ya kufua chuma!

  Katika kuangalia mwaka uliopita na kutazama mwaka huu mpya tumeandaa ripoti yetu hii ya shughuli zetu kama tulivyofanya mwaka jana. Kwa mara ya kwanza tumeenda mbele zaidi kwa kuweka mambo mengi wazi ambayo tunaamini kwa wale mashabiki, wanachama na wanaotuunga mkono kuweza kufahamu.

  Tunatumaini taarifa hii ni kile kidogo tunachofanya katika kuwajibika mbele zenu.

  Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha.

  Hii nayo iwe ushuhuda!

  M.M. Mwanakijiji
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Mar 1, 2009
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ngoja tuisome kwa makini ili tujijuze
   
 3. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Big-up Mzee Mwanakijiji, Naomba uliza Jambo moja; hili tamasha kubwa ambalo linategemewa kufanyika mwaka huu, kwa Watanzania walioko UK na Tanzania litafanyika lini na wapi?
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,568
  Likes Received: 18,313
  Trophy Points: 280
  Asante MMKJJ. Nimekusoma, nimekupata, nimekuelewa na tuko nyuma yako.

  Hongera/hongereni kwa yote mnayoyafanya kwa ajili ya taifa letu, nami naungana na kauli mbiu yako na kuamini 'pamoja tutashinda'

  Nina mapendekezo yafuatayo.
  1.Ongeza nguvu ya maandishi katika magazeti zaidi ya nyumbani pia ukilenga yale magazeti yanayo matter zaidi kwa policy makers wetu.
  Hapa simanishi kubagua magazeti, bali ni ukweli uliowazi kuna magazeti mengine yana nguvu kuliko mengine. Naamini umenipata. Tayari kazi ya makala zako ni nzuri ila usiishie kwenye
  hayo tunayayaona, nenda mbali zaidi, hata ikibidi magazeti ya sebuleni, jikoni na hadi ya chumbani kwa mwenye nyumba.
  2.Kwa vile wewe tayari umebarikiwa kuuona mwanga na sasa unafanya jitihada za kuwamulikia na wengine ili hatimaye sote tuuone mwanga, nakuomba ugeuke 'ufunguo' kwa kuwafungulia milango na madirisha wale unawaona wana uwezo wa kuona mwanga/tayari wameuona mwanga ila hawajawa tayari kuwamulikia na wengine kama ufanyavyo wewe. Wakaribishe kwako by 'headhunting'. Weingine hawawezi kuja bila kukaribishwa rasmi. Yale makaribisho ya jumla ni ya wote.
  Ukishawakaribisha rasmi hilo kundi lenye mwanga, kupitia kwako, waelekeze namna ya kuandika makala na kuzituma kwaenye magazeti ya nyumbani ili nguvu ya cheche ienee kwa kasi nchi nzima.
  3.fanya utafiti wa kusambaza print out ya kijarida cha Cheche kwenye local circulation. Kw jinsi kilivyo, ni only 2 pages kwa
  Size ya Broadsheet hata ukicharge Shilingi 100 tuu italipa hivyo kijarida kitatembea nchini nzima.
  4. Yale matangazo yako ya live ocasionally, uyalink na redio za nyumbani ili ujumbe uwafikie wengi zaidi kama ulifikiria.
  5. Kwa vile pia unauwezekano wa kufanya TV program, zifanye na kuzileta zirushwe kwenye vituo vya nyumbani kucompliment
  Kule ulikodhamiria kuonyesha.
  6. Hii ni critik. Kwa hayo uliodhamiria kuyafanya mwaka huu, umejifagilia sana kwa kauli za 'haijapata kutokea', 'kwa mara ya kwanza katika historia' 'Tamasha ambalo mfano wake haujawahi kutokea' . Kwa maoni yangu, ningeshauri usiweke hivyo vibwagizo vikapelekea kujenga anticipation, bali fanya ulichodhamiria kufanya ndipo sifa zifuate kwa wengine ndio waseme 'Haijawahi kutokea!'.

  Namalizia kwa kukupongeza sana wewe na timu yako, na kuwaombea mafanikio ya dhati kwa yote mliyoyadhamiria.
  Mungu ibariki Tanzania.

  Pasco.
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  This is great man! and you deserve wonderful congrats.......... Tuko pamoja let's do it!


  Kifikra we have achieved plenty in the last 3 yrs and hopefully in the coming three it ill be better in multiple terms.
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hongera sana, kwa miaka mitatu kufanya mambo yote hayo si jambo dogo.
   
 7. D

  Dotori JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kazi unayofanya. Nitawasiliana nawe punde kuhusu kutoa mchango wangu.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  usivunjike moyo wala kukata tamaa, malipo yako yapo tu hata usipoyapata wewe mwenyewe moja kwa moja, wapo watakaonufaika na unachokfanya
  kudos
   
 9. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Great will get back after having read it
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hongera mzee Mwanakijiji ila sasa mbona una mawazo kama Mwanajiji?

  Ukulima ndo unaanza kuupa kisogo?
   
 11. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Good Job.
   
 12. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #12
  Mar 1, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  MMKJJ,
  Great! Keep up, mpaka kieleweke, ninahakika kitaeleweka. Thanks for the great work and contribution to this great cause.
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Mar 1, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  dr slaa may i have ur email address
   
 14. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Brilliant MMM.
   
 15. N

  Neemah Member

  #15
  Mar 1, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi nini kirefu cha KLHN?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nadhani itakuwa haki kusema kuwa kati ya watu wengi humu tupigao soga kila siku, ni Mwanakijiji pekee anayejitahidi angalau kuyaweka maneno yake katika vitendo. Wengi wetu tukiulizwa tuonyeshe tukifanyacho Tanzania ambacho ni cha manufaa kwa jamii zaidi ya kubandika mabandiko alfu kadhaa hapa JF tutabaki kujing'atang'ata ulimi. But Mwanakijiji has something to show for it. Good job man.

  Moja ya jambo ambalo litachukua muda mimi kulisahau ni pale Mwanakijiji alipomsaidia mama mmoja hivi wa ki Zambia aliyekuwa kaolewa na Mtanzania aliyefariki huko Angola bila ndugu zake kujua Tanzania. Kama wengine, Mwanakijiji alipata habari za huyo mama kupitia mtandao, nadhani ni Tanzatl kupitia bondoradio (sina uhakika sana lakini ni moja ya hizo tovuti) and he took it up on his own and found the lady. Akamhoji na kuyarusha mahojiano kwenye redio yake. Mama wa watu alikuwa anawatafuta ndugu wa mumewe bila mafanikio lakini habari zilipomfikia Mwanakijiji wala haikuchukua muda na aliweza kuwaunganisha huyo mama wa ki Zambia na mama mzazi wa mumewe.

  That interview was touching. I could hear both the pain and relief in the lady's voice. I think Mwanakijji and the lady were strangers to each other and the kindness that he showed in helping her find her in laws was touching. It will be hard for me to forget that.

  Endelea kufanya unayofanya kwani angalau wewe unacho cha kuonyesha. Kazi nzuri.
   
 17. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #17
  Mar 1, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Shy,
  Thanks. My E mail address is wslaa@hotmail.com and slaa @chadema.net
   
 18. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #18
  Mar 1, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Shy,
  Thanks. My E mail address is wslaa(at)hotmail.com and slaa(at)chadema.net
   
  Last edited by a moderator: Mar 1, 2009
 19. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Kijijini Leo Hii News
   
 20. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mzee Mwanakijiji,

  Laiti wote tungekuwa tuko wazi namna hii na hata kuonyesha nia, madhumuni na mpaka gharama na michango kaa ulivyoonyesha, tungefika mbali sana!
   
Loading...