SIDO Makao Makuu imeondokewa na Mhasibu wake Bw. Peter Mkilania, aliyefariki dunia ghafla jana usiku. Peter alikuwa mzima, na alifanya kazi zake kama kawaida, ila ghafla alifikwa na mauti akiwa nyumbani kwake huko Kinondoni.
Asante kwenu wote, kwa sasa tunaelekea nyumbani kwake Kinondoni ambapo ndipo panapofanyika taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda kumzika huko kwao Singida.
Asante kwenu wote, kwa sasa tunaelekea nyumbani kwake Kinondoni ambapo ndipo panapofanyika taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda kumzika huko kwao Singida.
Asanteni wote, Marehemu Peter Mkilania amesafirishwa leo alfajiri kwenda huko kwao Singida kwa ajili ya maziko, Tunaomba MUNGU awape moyo wa subira wafiwa wote. R.I.P Peter.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.