Taarifa ya Msiba

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,598
52,297
SIDO Makao Makuu imeondokewa na Mhasibu wake Bw. Peter Mkilania, aliyefariki dunia ghafla jana usiku. Peter alikuwa mzima, na alifanya kazi zake kama kawaida, ila ghafla alifikwa na mauti akiwa nyumbani kwake huko Kinondoni.
 
Peter.. May you rest in peace... Poleni Mamndenyi...

Hii story inatukumbusha waweza katika anytime.... Dah!
 
Asante kwenu wote, kwa sasa tunaelekea nyumbani kwake Kinondoni ambapo ndipo panapofanyika taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda kumzika huko kwao Singida.
 
Asante kwenu wote, kwa sasa tunaelekea nyumbani kwake Kinondoni ambapo ndipo panapofanyika taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda kumzika huko kwao Singida.


Mwenyezi Mungu awajalie wepesi katika safari na shughuli nzima ya msiba.... Kila la Kheri....
 
Asanteni wote, Marehemu Peter Mkilania amesafirishwa leo alfajiri kwenda huko kwao Singida kwa ajili ya maziko, Tunaomba MUNGU awape moyo wa subira wafiwa wote. R.I.P Peter.

rip peter.gif
 
poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu
awape faraja na nguvu katika kukabiliana
na msiba huu.
R.I.P Peter
 
Back
Top Bottom