Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Wadau, ni hivi karibuni tulikuwa tunajadili kuhusu maisha ya kimuziki ya marehemu mzee wetu Frank Humplick na kidogo kuhusu familia yake.
Kuna taarifa za uhakika kuwa mwana familia mmoja Benny Humplick ambaye ni mtoto wa mwisho wa marehemu mzee Humplick na mmoja kati ya watoto wake wawili wa kiume amefariki dunia kwa kujitoa uhai huko Jergetal(jegestali) Lushoto.
Mungu mwenye huruma amrehemu na kumpokea katika enzi yake, Amen.