Taarifa ya msiba wa Mr Innocent

Ndg mtoa taarifa, mwl. Innocent nani? Maana kuna jamaa wawili nawafaham na wote ni inno na ni walimu japo sahivi siwezi kujua wako shuleni gani maana kuhamahama ni kawaida looking for green pasture. Otherwise R.I.P Inno.
 
Poleni wafiwa! Mungu aiweke roho ya Marehemu Inno mahala pema peponi, Amina.
 
Back
Top Bottom