Taarifa ya mkutano wa chadema reading, vua gamba vaa gwanda reading.!

Unaota huku unatembea Mangi ile aibu ya juzi sasa pale Reading unaipata mara tatu hapa sio Rombo Mashati Mangi Chilisosi.....pale simliwapata wale kumi ambao wote ni kutoka kulee kwetu kaskazin sasa Reading hata hao WAKASKAZIN huwapati peleka njaa yako huku sio kama kule

Na tafadhali uweke na picha ili u share hiyo aibu na wenzako wa hapa JF
Najua umekunywa mchuzi wa bendera ya ccm lakini bado hujachelewa kwa sababu tunaweza kukufumbua macho utaelewa ni kiasi gani ccm wanakumaliza ukiwa hai
 
Najua umekunywa mchuzi wa bendera ya ccm lakini bado hujachelewa kwa sababu tunaweza kukufumbua macho utaelewa ni kiasi gani ccm wanakumaliza ukiwa hai

Bills zimekushinda mkuu naona unatafuta ntoke vp....na unajua kabisa hapa hawa CHADEMA hakuna mtu anayekubaliana na SIASA zao ndio maana mlipata aibu ya kupitiliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom