Taarifa ya mkutano wa chadema reading, vua gamba vaa gwanda reading.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya mkutano wa chadema reading, vua gamba vaa gwanda reading.!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 14, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkutano Wa CHADEMA Reading

  [​IMG]
  M4C
  VUA GAMBA VAA GWANDA READING

  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAWI LA LONDON
  TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAENEO YA READING NA KARIBU YAKE (Slough nk) KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUBWA UTAKAOFANYIKA TAREHE 26/08/2012
  MUDA NA SEHEMU YA MKUTANO MTAJULISHWA BAADAE
  KATIKA MKUTANO HUO MAMBO MBALI MBALI YATAFANYIKA IKIWA NI PAMOJA NA HAYA YAFUATAYO;
  USAJILI WA WANACHAMA WAPYA
  KUCHAGUA WAWAKILISHI WA MUDA KUTOKA READING
  KUANZISHA MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE (mpaka sasa mtanzania akifariki UK hakuna taaluma au ofisi yoyote inayotoa msaada. tutaanzisha mfuko utakaotumika kusaidia kusafirisha marehemu pamoja na mfiwa nyumbani)
  WANACHAMA WA CCM WALIO NA UCHUNGU NA NCHI YAO WATAVUA GAMBA NA KUVAA MAGWANDA SIKU HIYO
  SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM.
  CCM NI KAMA KUNGUNI , NA DAWA YA KUNGUNI NI CHADEMA!

  NI WAKATI WA KUSIMAMA NA KUSEMA TUMECHOKA !
  KARIBU USHIRIKI KWENYE TUKIO HILI LA KIHISTORIA
  KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
  MWENYEKITI ;- Chris Lukosi 07903828119
  KATIBU MWENEZI ;- Chris Chagula 07405889880
  Asanteni sana
  PIPOOOOOOOOOOOOZ!
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi saana maana ubalozi uko kwa viongozi wanapokuja kutoka tanzania na kwa kuiwakilisha ccm ya mafisadi balozi hauko hapa kwa ajili ya wanaccm peke yao pesa yetu ya walipa kodi ndio mshahara wako achana na siasa za kizamani tunaamini una uelewa mzuri usiwasikilize wadaku wa mambo binafsi wafusi wa balozi aliyekutangulia mwanaidi ambao wanaongozwa na abuu faraji matapeli wa kuhujumu ubalozi kwa kisingizio cha usalama wa taifa
   
 3. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  safi sana Chadema London, speed ile ile kama ya Usain Bolt hakuna kupumzika ni mwendo wa kupaa Tu!
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Safi sana Chadema London, Speed ile ile kama ya Usain Bolt hakuna kupumzika ni kupaa tu!
   
 5. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haulali kaka mpakan kieleweke
   
 6. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tunataka tuipangue ngome ya ccm
   
 7. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie huwa najiuliza hivi ubalozi kazi yao ni nini? hawajali watanzania, hata miaka 50 ya uhuru walishindwa kufanya sherehe?
  Wao huwa bize akija mkulu tu basi baada ya hapo nadhani huwa wanacheza draft tu pale
   
 8. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  I like the 'Kunguni' metaphor. All the best.
   
 9. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  natamani nikwee pipa nije huko
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Go go go mpaka CCM imebaki na Nape tu (kamwa alivyodai hapo awali).
   
 11. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na huko reading ndio tunakwenda kuchukua ccm wote ili akija huyo Kinana akute hamna mwanachama aliyebaki
   
 12. B

  Bweru JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiboko cha magamba hicho. Unajua wameanza kuweweseka. Watajiju
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kila la jambo linawakati wake ni wakati wawatanzania kubadilika na kuonyesha kwa matendo kweli kwamba wanataka changes 2015.kila la kheri watanzania wenzetu mlioko UK
   
 14. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chilisosi mdogo wangu nitumie GBP kidogo nami nije niungane nanyi. Chapa kazi mpaka CCM kiwe chipsi nawe ukimiminie "chilisosi".
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Well done, move on guys, we are supporting you, tujipange nje ndani M4C mpaka KIELEWEKE
   
 16. s

  salisalum JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hongereni kusupport mageuzi. Ni bora sasa hivi kuliko baadaye!
   
 17. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mikutano ya m4c hufanyika baa ciwaelewi hao wanaovua gamba wanavuaje huku wakiwa bwii no wonder tawi lao la uk ni la wauza unga
   
 18. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu umesoma ramani vizuri sana yaan ukija Bongo tu hawa Vilaza lazima wakupigie debe UBUNGE huu hapa sababu WAJINGA NDIO WALI WAO
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  CCM inapigwa nje ndani....
   
 20. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Unaota huku unatembea Mangi ile aibu ya juzi sasa pale Reading unaipata mara tatu hapa sio Rombo Mashati Mangi Chilisosi.....pale simliwapata wale kumi ambao wote ni kutoka kulee kwetu kaskazin sasa Reading hata hao WAKASKAZIN huwapati peleka njaa yako huku sio kama kule

  Na tafadhali uweke na picha ili u share hiyo aibu na wenzako wa hapa JF
   
Loading...