Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du hapo kuna shida, yawezekana rubani si mzoefu wa eneo, Maana ukiuona uwanja wa KIA ni tofauti kabisa na Arusha. Hapo Mungu kasimamia maana kama kungekuwa na ndege inaruka na yeye rubani hana mawasiliano na muongozaji wa Arusha ingekuwaje? Nijuavyo rubani akikosa mawasiliano na muongozaji wa kiwanja hawezi kutua ataondoka sehemu nyingine yenye mawasiliano. Au watueleze kulikuwa na shida ya gafla kwenye ndege hiyo!
Barabara namba 27 KIA, na Barabara namba 27 Arusha? Kwani namba ziliisha?
Barabara namba 27 KIA, na Barabara namba 27 Arusha? Kwani namba ziliisha?
mmhh!!!Huyo mwongoza ndege hapo KIA au hapo ofisini KIA hakuna kiona mbali kujua kama ndege ipo karibu au laaaa????
kama hakuna kwa nini ??Je kama kipo huo sio uzembe?kama hakuna si swala la muongozaji bali ni la wasimamizi yaani management au mkurgenzi wa uwanja wa ndege.kama kipo huyo muongozaji anapaswa kuchukuliwa hatua haraka.
Pia kwanini hapo kia wamechelewa kutoa ndege mbovu mapema kwani hawajui kuwa kuna ndege itakuja kutua ina mana hawana ratiba ya kujua zinazotua na zinzitarajia kuondoka.
Pia huyo rubani mpaka anatua Arusha na hali anaambiwa kuna ndege ina matatizo uwanja wa kia na kwanini atue hapo Arusha wakati mazingira anayopewa katika mawasiliano na anayoyaona hayapo sawa ???au ndo wakiwa hewani wanakuwa hawaoni chini mm cjui labda wanaojua wataelza hapa,ingawa rubani hana lawama sana .
Ushauri wanguserikali iwawajibishe wahusika wote juu ya swala hili wa uwanja wa ndege wa kia na pia kwa taatizo hili iwe ni changamoto kwa serikali juu ya swala zima la miundombinuTustegemee kiwanja kiomja au viwili au vitatu ni muhimu kuwa na vingine zaidi kama wa Arusha sio wa kuwa hivyo ni jiji kubwa.ni sawa na dar tujiandae kujenga kingine kikubwa zaid maeneo ya mkoa wa pwani