Taarifa ya maboresho ya njia za umeme Wilaya ya Mbagala

TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,584
2,104
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Agosti 10, 2020

TAARIFA YA MABORESHO YA NJIA ZA UMEME WILAYA YA MBAGALA

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Wilaya ya Mbagala kuwa kutakuwa na matengenezo ya kuhamisha njia za umeme katika kituo cha kupoza umeme cha Mbagala na Hivyo kusababisha Katizo la Umeme katika maeneo yao.

SIKU Jumatano Agosti 12, 2020, kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA Wilaya ya Mbagala na maeneo jirani.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika toa taarifa dawati la dharura wilaya ya mbagala kwa msaada zaidi:
0714073588, 0786975538

Au kituo cha miito ya simu Makao Makuu:+255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti:
www.tanesco.co.tz

Barua pepe: dm.mbagala@tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd

*Imetolewa na*
Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom