taarifa ya kukosekana kwa umeme iringa mjini

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME IRINGA MJINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Iringa (mjini) kuwa kuna hitilafu imetokea kwenye Kituo cha Kusambaza umeme cha Sabasaba usiku huu Jumatano Februari 10,2015 hivyo kusababisha eneo lote la Iringa mjini kukosa umeme.

Mafundi wa Karakana ya Umeme tayari wameenda kushughulikia tatizo hilo.

Umeme utarejea baada ya mafundi kurekebisha tatizo hilo.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom