Taarifa ya kufunguliwa kesi mbili; Kuomba kutenguliwa kwa zuio la jeshi la polisi na bunge live

Hakuna kesi yoyote ile dhidi ya serikali ambayo safari hii serikali itashindwa, hata uwe na ushahidi wa aina gani. Orders are very clear...when you see nay case versus the govenmrnt, you know what to do, we bother to remind you on what to do.
 
Wachafu wapo ccm huko kila leo unasikia jipu linatumbuliwa ni mwanasiasa yupi wa upinzani yupo mahakaman akijibu shutuma za rushwa na unadhirifu? Huwez ukatuambia et hakuna mwanasiasa msafi wakat huko magambani hela za mboga wanawavimbia tume ya maadili huko kujiuzuru narudia tena kulitakiwa kuwe kwa ccm pia ukiweka video zako kuonesha kuwa hao jamaa walichokuwa wanakiongea kina ukweli mi siwez kuusemea moyo wa mtu mtu anaongea hichi anatenda kile.
Na ndiyo maana unatakiwa ujue kuwa hawana jipya na wewe umekiri maana sijakopi magazetini ila ni video kuonyesha ni jinsi gani wanasiasa kwa kutumia akili finyu za baadhi yetu kutuchezea na kutudanganya kama sisi tuna ugonjwa wa utindia ubongo. Kama ulizisikia hizi hotuba na ukawa unajiaminisha ni waongo iweje leo uwaamini?
 
Nilidhani unawashauri viongozi wako wajiuzulu baada ya kushindwa ktk uchaguzi mkuu mwakajana. Kiongozi wa chama cha labour nchini UK aliposhindwa uchaguzi aliiachia ngazi sasa hii demokrasia gani?
Wewe uliposhindwa uongozi wa nyumbani kwako uliachia nini!
 
Jaji sio mwanasiasa akisha teuliwa na kuapishwa hawezi kutenguliwa kirahisi kama mkuu wa mkoa. inaundwa tume ya kijaji kumchunguza. tume hiyo ikiridhika na kosa na kupata ushahidi wa kutosha ndipo uteuzi wake waweza kubatilishwa
Hyo ipo kwenye makaratasi tu, ila kiuhalisia si hivyo kamwe na ndomana unaona wanaufyata..
 
Back
Top Bottom