Taarifa ya kifo mwenyekiti wa bawacha wilaya ya lushoto

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Heshima Mkuu,

Viongozi wa wilaya ya Lushoto wameshikwa na huzuni baada ya kumpoteza Kamanda Mama.Christina Magoha aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wilaya ya Lushoto. Kifo cha hiki cha ghafla kimetokea hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo.

Mungu amlaze mahali pea peponi.Amina
 
Hivi huko anakoenda kuna M4C!Mungu amlaze anapostahili
 
Back
Top Bottom