Taarifa ya Ikulu: Serikali yakanusha kuwa itafuta Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini

Status
Not open for further replies.
Aitishe press conference ndio tutamuelewa otherwise hii ni sinema nyingine director hakujipanga kama kule clouds.
 
Hivi kama usingemuona akihutubia halafu mtu angekuwekea audio clip ya hotuba ya rais Siku ya uzinduzi wa Ujenzi wa flyover pale ubungo ungeamini kuwa rais anaweza kutoa hotuba kama ile mbele ya rais bank ya dunia!?
Mkuu nakupata vizuri. Hata hivyo sisi Wantazania tunarukia mambo sana. Ama ni vipi?
 
Eti magufuli kachukizwa na Heading za magazeti ya leo, Anadai jamaa aliyetoa bastola alifanya hivyo kwa utashi wake , serikali haihusiki na kile alichofanya.

Nadhani alitegemea sinema yake ya kichina ya jana itapewa promo. Cha ajabu ilipoteza mvuto kabla haijafika kwa walaji.
 
Mbona hii habari mnainy'any'ania sana.?
Mods.futa hii kitu itaendeleza yenye nembo ya Taifa,kwani kuna watu wataanza kuchafua hali ya hewa.
 
Screenshot_2017-03-24-17-26-30-1.png
 
Jana kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa inazunguka barua inayosomeka kuwa Rasi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Mamlaka zake wanafatilia kwa karibu Mambo yanayoendelea Mitandaoni, kama yana tija au hayana tija kwa Taifa, na kama yakionekana hayana Tija kwa Taifa, basi mitandao yote ya kijamii itapigwa marufuku kutumika hapa Tanzania.

Baada ya Barua hiyo kusambaa, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Gerson Msigwa aliamua kusema juu ya jambo hilo.

Source; eapulse.com

Yaalekea mzee wa chatle na bashite wake wanaogopa sana mitandao ya kijamii. Unapotishia kufungia mitandao ya kijamii wakati wao wenyewe watawala wanaitumia ni sawa na kukimbia kivuli chako mwenyewe.

Katika uongozi wa Mh. Kikwete hajawai kutumia nguvu na jeshi kushawishi au kuwa mashuhuri bali alitumia akili,uvumilivu, na busara katika hoja mbadala zinazoibuliwa na mitandao ya kijamii.

Kukimbia tatizo siyo sululisho la kutatua, bali ni kuendelea kuongeza matatizo mengine zaidi. Nikiwa na maana ukiwazuia watu kusema basi watatafuta mbinu mbadala na nyingine ili kupaza sauti na fikra zao ikiwa lengo kuu kufikisha ujumbe na kusikilizwa yamkini mbinu hizo yaweza kuwa mbaya zaidi ya ile ya awali iliyozuiliwa kutumika kufikisha ujumbe.
 
Eti hajawahi kutumia jeshi!! Mmeshasahau tayar... Pumba!

"Piga tu" ilivuma wakati gani?
 
mwangosi alipigwa bom awamu iliyopita, yule dk akang'olewa kucha na kuwekewa kitu kizito makalioni awamu iliyopita, mvungi wa katiba mpya akauawa awamu iliyopita, phd holder wa mbeya akalishwa sum awam iliyopita.. ni matukio mengi tena ya kutisha, hivyo napoona maboya kadhaa wanakuja kumsifia aliewatawala awam iliyopita kiukweli nafikia tamati kua watanzania wengi ni WAPUMBAVU NA WEPESI KUSAHAU SANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom