Taarifa ya Habari ya saa 2 on KLHN

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Tutawaletea taarifa ya habari ya Saa mbili toka TBC ifikapo saa saba kamili EST saa sita kamili CST (-5 GMT)
 
nope... nasikiliza hewani na miye narusha hivyo hivyo.. pesa yangu. Mali ya umma.
 
Kaazi kweli kweli.
Meanwhile...Nakula Twanga pepe...pepetaa!
Changa la macho hiloo!
Hopefully NOT THOUGH!
 
Afrika Will Be Free!
Jk Fanya Mambo!
Madhali umesharudi...PINDA atajuwa cha kujibu.
Na akishindwa tunaomba utoe kauli....Kuwa sasa tunataka RIPOTI ZOTE ZIJADILIWE!
 
Kweli niko na wewe MKJJ!
WASIRUKIE MAMBO KWA KUPENDA UMAARUFU!
WAPE MAMBO!
WANATAKA KULETA CHANGA LA MACHO!
WATU WALITAKIWA WAKAMATWE MUDA MREFU TU!
USHAURI WA KUFUNGUA MASHTAKA WANAODAI HAO WABUNGE...NI KILIO CHA WANANCHI AMBACHO NI CHA WANANCHI NA HAWAKUKISIKILIZA!
 
kamanda sikupati sauti haitoki player inacheza lakini sauti hakuna......
 
Cha muhimu ni kuwa JK kasharudi na baadhi ya wabunge wanataka MASHTAKA yafunguliwe dhidi ya DOWANS.
Kikwete kesharudi sasa amwulize MWEMA ripoti na atoe maamuzi haraka kwani watuhumiwa wako na wasipewe nafasi ya kufanya makalatee kama ambavyo wameshafanya.
 
kuna player nne unazoweza kutumia na katika high au low jumla unaweza kujaribu kwa njia nane!

Nitarusha tena sehemu ya Taarifa ya habari na maoni yangu kuhusu jambo hili la Mugabe in 3 minutes.
 
Mzee, ukiweza wawekee na proceedings za Bunge kupitia TBC, kuna mambo mengi yanaendelea hapa dom
 
tutakuwa tena hewani... Mpita Njia... tena ingekuwa rahisi kweli.. lakini ukiritimba wa TBC hawawezi kufanya hayo yote...
 
Back
Top Bottom