Taarifa ya habari ya ITV leo coverage ni Christmas tu

Sasa kama ndizo zimetokea sana ukitaka waweke zipi... yaani ninyi msipoona taarifa ya upande ule basi siku hiuo hamhesabu kama kuna taarifa imesomwa

Ina maana hakuna matukio mengine yaliyotokea nchi hii mkuu??? Katika siku ya leo?
 
Yapo ila mengi ni ya sikukuu... na wao hawajatangaza ya sikukuu pekee kuna mengine mfano huko tanga kuna taarifa ya kuongezeka watoto yatima, halafu nmeona nyingine inayowahusu watu wenye ulemavu na nyingine nyingi, hivo hawajatoa za sikukuu tu mkuu
 
Hakuna ueledi...Haiwezekani taarifa ya habari ihusu Christmas tu, kwa nini?! It can't be! Huu ni ....
 
Ina maana hakuna matukio mengine yaliyotokea nchi hii mkuu??? Katika siku ya leo?
Hata mimi nimeshangaa kweli. Huku kwetu mngeta tangu jana askari wa JKT kambi ya Chita wanapambana na wananchi kugombea adhi. Inasemekana kuwa kuna watu wameuawa na wakuu wa majeshi na mawaziri wameenda huko leo asubuhi, lakini inaonekana sio story ya maana
 
Mbona haohoji hata JF kila member kapewa fimbo ya Father Christmas kwenye avatar yake.
 
Taarifa gani muhimu haijatajwa?
In shortbwaandish wa habar wanapata habar sehemu zenye matukio....sasa leo kulikuwa na tukio gan zsidibya xmas?
 
Thread zingine bhana, sasa wewe ulitaka nini? Uliwapa habari muhimu zaidi na muhimu ya hiyo hawajairusha nini?
 
Hakuna ueledi...Haiwezekani taarifa ya habari ihusu Christmas tu, kwa nini?! It can't be! Huu ni ....
Utakufa siku si zako kwa chuki iliyokujaa, ina maana na Tv Imaani pia ni habari za Christmas tu? kama ni hivyo haishangazi kusikia katibu wa Bakwata anafuga nguruwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom