Taarifa ya Habari UFM, hii maana yake nini?

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,745
5,446
Ktk kutafuta redio ya kusikiliza mchana huu, nikajikuta nasikiliza UFM wakisoma habari saa 5.

Miongoni mwa habari ilihusu mgogoro unaofukuta kati ya Israel na Hizbollah huko Mashariki ya Kati. Msomaji akaendelea na akasoma kuwa hivyo karibuni, ndege mbili za Israel zisizo na rubani zilipata ajali nchini Lebanon zilizopita juu kwenye makao ya Hizbollah!

Nikajiuliza source ya habari za wanapata wapi, na lengo ya kuchuja hiyo habari ni nini, nikakumbuka kuwa Azam Media inaongozwa na mwanahabari nguli na mbobevu Tido Muhando, na hapo nikakumbuka ule msemo wa wahenga; " mtumikie kafiri upate mradi wako ".
 
Mwandishi wao wa habari atakua kimsboy wa kule JF International.

Maana huyu ndugu habari zote mbaya za Israel unazikuta kwake.
 
Ktk kutafuta redio ya kusikiliza mchana huu, nikajikuta nasikiliza UFM wakisoma habari saa 5.

Miongoni mwa habari ilihusu mgogoro unaofukuta kati ya Israel na Hizbollah huko Mashariki ya Kati. Msomaji akaendelea na akasoma kuwa hivyo karibuni, ndege mbili za Israel zisizo na rubani zilipata ajali nchini Lebanon zilizopita juu kwenye makao ya Hizbollah! Nikajiuliza source ya habari za wanapata wapi, na lengo ya kuchuja hiyo habari ni nini, nikakumbuka kuwa Azam Media inaongozwa na mwanahabari nguli na mbobevu Tido Muhando, na hapo nikakumbuka ule msemo wa wahenga; " mtumikie kafiri upate mradi wako ".
Sasa ndiyo unamchomea Tido au?
 
Ktk kutafuta redio ya kusikiliza mchana huu, nikajikuta nasikiliza UFM wakisoma habari saa 5.

Miongoni mwa habari ilihusu mgogoro unaofukuta kati ya Israel na Hizbollah huko Mashariki ya Kati. Msomaji akaendelea na akasoma kuwa hivyo karibuni, ndege mbili za Israel zisizo na rubani zilipata ajali nchini Lebanon zilizopita juu kwenye makao ya Hizbollah!

Nikajiuliza source ya habari za wanapata wapi, na lengo ya kuchuja hiyo habari ni nini, nikakumbuka kuwa Azam Media inaongozwa na mwanahabari nguli na mbobevu Tido Muhando, na hapo nikakumbuka ule msemo wa wahenga; " mtumikie kafiri upate mradi wako ".
Mbona habari hizi ziko wazi na zinaeleweka sana????
 
Kwahiyo roho inakuuma waisrael kuchapwa?,shithole!
 
Umetumia hisia kufikia hitimisho badala ya kutumia akili. Mbona mara nyingi tu Waisraeli wanashambuliwa na kuuwawa kwa makombora, mabomu na visu na ni kawaida tu huko Israel na Gaza!

Vv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom