Waga
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 322
- 14
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuru
mwenye kifafa haruhusiwi kutawala watu? vitu vingine kichekesho dah
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuru
SD hanyanyapaliwi mtu hapa hebu we niambie labda ufahamu wangu ni mdogo kiasi, Je ni sahihi kwa watu kuanza kuulizia CD4?? DAMU KUBWA? SIJUI ANA NGOMA, SIJUI KIFAFA, haya mambo ni sahihi?? haya maswali hawawakilishi unyanyapaa? kwangu mimi sioni faida ya maswali haya sana sana ni kumvunjia heshima tu Raisi wetu, nimegundua ugumu wa maisha unatufanya wengi wetu tumaumu huyu Raisi na kusahau kuwa kuna maraisi watatu walishapita na hali ilikuwa hivyo hivyo sasa tusichukulie vigezo vya kutaka kumkashifu Mheshimiwa Rais hata kama ana matatizo hayo mnayoyapandikiza nyinyi sioni kama kuna haja ya kuutangazia uma.
khee hivi UMALAYA ni ugonjwa..
Haya maswali yana faida kabisa na ni muhimu kuulizwa.
Kumbuka kitu kimoja kuwa, wananchi watanzania ndio waajiri wa Kikwete. Wao ndio wamemwajiri kuwa raisi wao.
Watanzania wanastahili kujibiwa maswali yoyote yale wanayokuwa nayo kwa raisi hasa inapokuja swala kubwa kama hili la kuzimika zimika.
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa
aaah kazidi sana huyu kutangatangaJamani raisi ni binadamu naye anaugua kama wengine! Hivi watu wanategemea ashuke malaika awe raisi wenu?
watu wanataka kujuwa kuhusu rais wao kwa sababu rais ni mtawala wetu..we own him...anatuhusu sana...mimi na wewe hatuna public importance ni sawa hata tukiwa na busha..ni zetu ....lakini afya ya rais ni afya yetu...
mugabe is 86 never cripled....mandela 91..never cripled...queen 85 never...kim jong il[ana kansa ] at 66 never cripled ....kibaki...78...sasa iweje tusishangae kwa rais wetu .....is far kijana.....
Mkuu, ukifatilia mabandiko yangu utaona kuwa mi si mtu wa kufatilia afya za watu. None of my business, simple as that. Ila kwa wanajamvi wenye nia hiyo na kama wananchi wa Taifa letu wanayo haki ya kuulizia afya ya Mh. Rais wao. Ndiyo maana nikaweka hiyo nukuhu ya Daktari wa Mheshimiwa akikiri hoja hii.SD hanyanyapaliwi mtu hapa hebu we niambie labda ufahamu wangu ni mdogo kiasi, Je ni sahihi kwa watu kuanza kuulizia CD4?? DAMU KUBWA? SIJUI ANA NGOMA, SIJUI KIFAFA, haya mambo ni sahihi?? haya maswali hawawakilishi unyanyapaa? kwangu mimi sioni faida ya maswali haya sana sana ni kumvunjia heshima tu Raisi wetu, nimegundua ugumu wa maisha unatufanya wengi wetu tumaumu huyu Raisi na kusahau kuwa kuna maraisi watatu walishapita na hali ilikuwa hivyo hivyo sasa tusichukulie vigezo vya kutaka kumkashifu Mheshimiwa Rais hata kama ana matatizo hayo mnayoyapandikiza nyinyi sioni kama kuna haja ya kuutangazia uma.
aaah kazidi sana huyu kutangatanga
Mkuu, ukifatilia mabandiko yangu utaona kuwa mi si mtu wa kufatilia afya za watu. None of my business, simple as that. Ila kwa wanajamvi wenye nia hiyo na kama wananchi wa Taifa letu wanayo haki ya kuulizia afya ya Mh. Rais wao. Ndiyo maana nikaweka hiyo nukuhu ya Daktari wa Mheshimiwa akikiri hoja hii.
Niliouita unyanyapaa ni hiyo generalization kwamba watu wote hapa wako ku-belittle Rais. Hapana. Some have genuine concern and have asked reasonable questions. Kinachotuangusha pahala pengi sisi na serikali yetu ni haya mambo ya kufichaficha. Report ya mheshimiwa Rais kutojikia vizuri jukwaani haihitaji maelezo marefu namna hiyo, na wala sioni busara yoyote kuichelewesha na kuitoa sasa hivi mara tu baada ya kuona watu wakirumbana mtandaoni.
Pale ambapo kuna tukio linalomhusisha Mh. Rais lenye kuweza kuleta utata linapotokea, Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu haina budi kuwataarifu wananchi promptly and accurately. Kufichaficha huku ndiko kunakozaa maswali mengi na hata kuwafanya watu waanze ku-speculate mambo ambayo wasingeyafikiria iwapo wangelikuwa na taarifa mbadala kuhusiana na jambo/tukio. Like i have said before, am gonna say it again; it's this primitive Ikulu Propaganda machinery that tend to drive wananchi into unnecessary speculations by choosing to remain shtum on burning issues wananchi ought to be briefed about.

amletee nani masiha bora..maisha bora yanapatikana kwa kwenda jamaica??lolAkikaa mtasema Raisi gani anakaaa tu ofinisi akihangaika kutaka kuwaletea maisha bora mnasema hapa ndo naona shida ya watanzania mweh
mwafrika report ya daktari imeshatoka so what next? mbona mnakuwa matomaso namna hiyo?? hamtaki kukubaliana na kilichosemwa na mtaamu? haya hebu tuambie wewe kwa upeo wako na utaalamu wako Raisi anasumbuliwa na nini?? maana nimeona post yako moja umeshaweka na mambo ya u mimi mkristo wao waislamu...
Maelezo mazuri homeboy!
SteveD for presidency!!!!
Waga,
Maswali yanaoulizwa hapa ni ya muhimu. Huwezi tu kusoma report ndefu kama hii inayojichanganya na ukaikubali tu kwa vile imetolewa na dk wa raisi.
Kuhusu cha ukristo na uislam kwenye post yangu - kasome tena uone kuwa ni jibu kwa mwana JF anayeitwa tumaini. Yeye alitaka kuanzisha madai kuwa magonjwa ya Kikwete yanatoka kwa wakatoliki na wagalatia.
Alichopata toka kwa kwangu ni jibu linalolingana na hoja yake.