Taarifa ya bunge ya north mara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya bunge ya north mara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Feb 9, 2010.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,851
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  kamati ya bunge ya ardhi, maliasili na mazingira inawasilisha taarifa yake bungeni muda huu kuzungumzia uchafuzi wa mazingira yanayozunguka mgodi wa north mara unaofanywa na barick , lets wait

  Please open the attachment:
   

  Attached Files:

 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sitegemei jipya lolote lile kutokana na taarifa hiyo zaidi ya kupindisha ukweli eti kwamba barick hwana kosa, ni kupoteza tu muda na kula posho wasizostahili hao jamaa hapo bungeni!
   
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 965
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Kweli hawa watawala hawawajali wananchi, so hiyo taarifa ndo itafufua wale wanachi maskini waliokufa kutokana na hayo makemikali???baada ya kuwakilisha then what next?? matumizi mabaya ya pesa tu, wachafuzi wenyewe wanajua ilikuwa ni sumu na ina madhara, najiuliza huo mgodi ungekuwa Canada wangefanya huo uzembe waliofanya??Tungekuwa na serekali inayojali watu naamini ingeamuru mgodi ufungwe mpaka hilo tatizo la kuvuja kwa kemikali lipatiwe ufumbuzi. Ni kwanini hawa wanaojiita wanaharakati wasifungue kesi kwa niaba ya wananchi na kudai fidia?

  ama kweli hii ni Tanzania
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Barric is licha ya kutofanya EIA, he is cleared!. Serikali imebebeshwa mzigo. Wizara za Madini, Mazingira, Maji na Afya kuwajibika. Mwekezaji kugharimia kila kitu.

  Kwa kweli lazima wawekezaji walindwe kwa nguvu zote za serikali yetu, yaani Barric North Mara, imejengwa bila EIA na bado ipo!. This country bwana...!.

  Mambo yakiwa safi, nitawaletea taarifa yenyewe. tatizo hapa Bungeni, wanaopewa taarifa ni wabunge na wanahabari tuu, sisi wananchi wa kawaida huwa tunanyimwa.

  Nitabembellleza kwa wanahabari marafiki nipate copy na kuwarudishia.
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,158
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .....hizo taasisi zinawajibika kivipi? mawaziri wake wanatakiwa kuresign au?
   
 6. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hilo lipo kwani? sio kila mtu anatafuta jinsi ya kurudi tena bungeni, Taharifa wakati inasomwa usishangae akili na mawazo ya wabunge walio wengi wasijue kinacho endelea zaidi ya kuwaza kampeini za kuwania ubunge tu.
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 24,755
  Likes Received: 24,907
  Trophy Points: 280
  Pasco pamoja na kuwa wewe si mwana habari lakini juhudi zako za kutuhabarisha hapa JF zinaonekana na kukubalika. Keep it up comredi
   
 8. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,777
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  kumbe pasco si mwanahabari..........
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  tatizo kwa watawala wetu na wawakilishi wetu wakishapokelewa na mwekezaji basi mambo yote wanasahau kuwa wananchi ndio waliokufa kwa sumu, si ajabu hiyo taharifa ikamsifu mzungu wa barik jinsi anavyotunza mazingira na kuwasingizia wananchi waliokufa walikufa kwa kipindupindu na si sumu

  HAKI LAZIMA ITENDEKE NA IONEKANE EMETENDEKA
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana Pasco kwa taarifa hiyo.

  Binafsi sikutarajia kusikia wala kuiona kamati ya bunge ikisimamia ukweli.

  Nilitarajia kwamba hawa maharamia wa nchi kavu lazima watasafishwa kwa msasa mkali, na ndicho kilichotokea.

  Kwakuwa Tanzania bado hatuna viongozi wanaowajali watanzania wenzao, hali hii itaendelea kurindima tu kila siku.

  Lakini ipo siku tutajitoa utumwani, Ingawa tunawajibika kujipanga vizuri sana ili tufanikiwe.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Pasco ni pen name kwa JF tuu.
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,823
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pasco,

  SENKIS kwa update

  Nikiunganisha hizo sentennsi mbili (bold&red) naona kama zina-"contradiction"!

  Cleared then kugharimia kila kitu!
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Baba Enock, kwanza asante for reading in between the line. Its true Barric is cleared huku no EIA imefanywa!. Ingekuwa China kwanza North Mara ingeshafungwa right on the spot, na aliyeidhinisha mradi wa Noth Mara angenyongwa!. Ile kashfa ya maziwa kiwanda kilifungwa on the spot, wahusika wamehukumiwa kunyongwa kama leo, kesho yake hukumu imetekelezwa!.

  Kama North Mara imejengwa bila EIA, how is it cleared!. Hiyo kamati ya Bunge wao wana expertise kujua.

  My opinion,ni North Mara imesababisha yote. barrick wamekata panga nene left right and centre na wamekubali watalipa kila kitu including kumfund whoever atakaye mn'oa Mwera, anawawekea kauzibe.

  clearance ya Barric ni works of kisu kikali.
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,219
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Inashangaza, lakini tujiulize defination ya mwekezaji hapa Tanzania. Hawa wawekezaji ni akina nani??????
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Taarifa ni hii hapa.
  Mtanisamehe haya mambo ya attachment nayo ni kazi za watu, hivyo mode naomba nisaidie kuiweka vizuri.
  Ph.D ichukua hii attachment uiweke pale kwenye post yako hapo mwanzo.
   

  Attached Files:

 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Siku imefika.
  P.
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,473
  Likes Received: 22,717
  Trophy Points: 280
  Haya ndio mambo ya Acacia!.
  P.
   
 18. wambura marwa

  wambura marwa JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2017
  Joined: Mar 7, 2015
  Messages: 2,180
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  CCM wanataka roho sasa baada kuona kwamba kila siku wanatuibia na hatushituki
   
Loading...