MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
Wewe ni mjinga wa aina yake.CHADEMA hawana wabunge wa viti maalum.Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Februari 10,2021 Bungeni Jijini Dodoma.
Mhesh Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema na kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime.
Chanzo: : Ofisi ya Waziri Mkuu
View attachment 1699196