Taarifa: Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Afanya Mazungumzo na Mbunge wa Viti Maalumu Mheshimiwa Esther Matiko

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,160
2,000
Wewe ndiyo upigwe ban kwa kuwalazimisha Cdm kuwa na wabunge wasio chaguo lao.
Kwani cdm ni kamati kuu tu peke yake ndiye yenye maamuzi ya mwisho kwenye hicho chama? Wakina mama hao wameyakataa maamuzi hayo na wamekata rufaa kwa baraza kuu la chama. Wanasubiri maamuzi ya baraza kuu. Na hilo baraza kuu lisipofuta maamuzi ya kamati kuu, watakataa na kukata rufaa kwa mkutano mkuu wa cdm ambao ndiyo wenye mamlaka ya mwisho kwenye chama kwa mjibu wa katiba ya chama hicho. Hata kama nao huo mkutano mkuu utakubaliana na maamuzi ya baraza kuu, bado kwa mjibu wa sheria za nchi wanaweza wakakataa uamuzi huo na kukata rufaa mahakama kuu. Mahakama kuu nayo ikatokea ikakubaliana na maamuzi ya mkutano mkuu wa cdm bado wanaweza kukataa na kukata rufaa mahakama ya rufaa ambao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho.

Ni mchakato mrefu (a long process) kumfukuza mtu ubunge. Kosa wanalotuhumiwa nalo si la jinai. Hivyo wakihukumiwa kwenye ngazi za chini na kukata rufaa kwa ngazi inayofuata mambo yanabaki status quo- yaani utekelezaji wa maamuzi unasimama kusubiri maamuzi ya ngazi inayofuata. Hata kwenye tuhuma za jinai kubwa hususani za mauuaji ya kukusudia (murder) ambayo hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa, huwa ni hivyo hivyo. Mtuhumiwa akishahukumiwa kunyongwa na mahakama ya chini ambayo huwa ni makakama kuu akishakata rufaa mahakama ya rufaa kuhusu hukumu hiyo, basi huwa hanyongwi bali anasubiri maamuzi ya mahakama ya rufaa. Hata kama mahakama ya rufaa (ya majaji 3) wakakubaliana na hukumu ya mahakama kuu bado mtuhumiwa anaweza kukata rufaa kwenye mahakama ya rufaa ya majaji watano - for review. Nao hao wakikubaliana na mahakama ya rufaa ya majaji watatu bado mtuhumiwa ana nafasi ya mwisho ya maamuzi ambayo ni kwa raisi wa jamhuri ya muungano ya tanzania.

Hivyo wakati tunasubiri huo mchakato mrefu wa utaratibu, kanuni na sheria za kumfukuza mbunge kwa tuhuma za kukiuka maadili ya.chama chake, wabunge hawa wanaendelea kuwa wabunge halali wa jamhuri ya muungano wa tanzania tupende au tusipende.
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,160
2,000
Wewe ndiyo upigwe ban kwa kuwalazimisha Cdm kuwa na wabunge wasio chaguo lao.
Kwani cdm ni kamati kuu peke yake na maamuzi yake ni ya mwisho? Wakina mama hao wameyakataa mauzi hayo na wamekata rufaa kwa baraza kuu. Wanasubiri maamuzi ya baraza kuu. Na hilo baraza kuu lisipofuta maamuzi ya kamati kuu, watakataa na kukata rufaa kwa mkutano mkuu wa cdm ambao ndiyo wenye mamlaka ya mwisho kwenye chama kwa mjibu wa katiba ya chama hicho. Hata kama nao mkutano mkuu utakubaliana na maamuzi ya baraza kuu, bado kwa mjibu wa sheria za nchi wanaweza wakakataa uamuzi huo na kukata rufaa mahakama kuu. Mahakama kuu nayo ikatokea ikakubaliana na maamuzi ya mkutano mkuu wa cdm bado wanaweza kukataa na kukata rufaa mahakama ya rufaa ambao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho.

Matusi gani ya nguoni katukanwa?
Unataka niyarudie na mimi nipigwe ban. Kwani hukuyaona hapo juu? Hiyo sehemu iliyotajwa kwani huwa ni ya wazi kama kichwa na pua au ni ya nguoni?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,078

Sofia Simba alipofukuzwa kwa kosa kama la Covid 19 alikata rufaa wapi ?! Au kwa kuwa ni Cdm ?
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,097
2,000
Mbunge wa Chadema wa kwanza kwa awamu hii kuonyesha ushirikiano mzuri,hakika ni faraja Chadema kua na wabunge mahiri kama uyu.
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,160
2,000
Sofia Simba alipofukuzwa kwa kosa kama la Covid 19 alikata rufaa wapi ?! Au kwa kuwa ni Cdm ?
Sofia Simba alikubali hiyo hukumu ya kamati kuu ya chama chake. Hakuikataa na kukata rufaa kwa ngazi inayofuata kwan alidhika nayo. Hawa wa chadema hawakuridhika na hukumu hiyo ya kamati kuu ya chama chao. Waliona wameonewa na ķunyanyasika na hivyo wakaamua kufuata mkondo sheria, kanuni na taratibu za ndanj na nje ya chama. Ni haki yao na hamupaswi kuwaandama na kuwatukana matusi ya nguoni.
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,248
2,000
Nadhani siyo sahihi kuendelea kuwaita wabunge kupitia chadema wakati unajua wakishafukuzwa uanachama na hivyo kukosa uhalali wa kuwa wabunge. Itendeeni haki chadema na.kuheshimu maamuzi ya yao. Nashauri wake wote tunaowataja wabunge hawa tuwatafutie namna nzuri ya kuwatambulisha.
Napendelea watambuliwe wabunge wa spika,au wakiopatikana kwa kuvunjwa katiba.
Ama wabunge maalumu wa bunge la jamhuri. Hawa hawawakikishi chama ,jumbo, wala si wabunge wateule wa Rais. Badala yake tungemuambia spika na Rais Magufuri watuambie kwa nini wameamua kuwawafujaji ,wabadhirifu wa pesa za watanzania kwa kuwalipa wabunge wasiokuwa na sifa ya kuwa wabunge?
Kamanda acha povu, mpaka sasa chadema haijamwandikia barua rasmi spika kumtaarifu kuwa hao wabunge wameshafukuzwa uanachama, kwa hiyo spika bado anawatambua kuwa wabunge halali wa bunge la JMT.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,078
2,000
Sofia Simba alikubali hiyo hukumu ya kamati kuu ya chama chake. Hakuikataa na kukata rufaa kwa ngazi inayofuata kwan alidhika nayo. Hawa wa chadema hawakuridhika na hukumu hiyo ya kamati kuu ya chama chao. Waliona wameonewa na ķunyanyasika na hivyo wakaamua kufuata mkondo sheria, kanuni na taratibu za ndanj na nje ya chama. Ni haki yao na hamupaswi kuwaandama na kuwatukana matusi ya nguoni.
Chukua hata bure hao Covid 19. Mwanamke akishashirikiana na mtesi wa family , hata kama ni mzuri kama malaika huyo hafai.

Ndugai na Ccm yake wamehakikisha hao kina mama wanapoteza majimbo yao . Sasa Leo uema wa ndugai unatoka wapi kwao ?!
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,160
2,000
Hakuna wabunge wa viti maalum kupitia Chadema, hao ni wabunge wa Ndugai
Kwani kwenye kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 walikuwa wanamunadi Ndugai? Si walikuwa wakimunandi Bw. Tundu Lissu hadi kupelekea Tundu Lissu kupata angalao kura million moja? Bila nguvu za hawa akina mama hata yule Mheshimiwa wa ubwabwa angalipata kura zaidi yake. Shukrani ya punda siku zote ni mateke.
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,160
2,000
Chukua hata bure hao Covid 19. Mwanamke akishashirikiana na mtesi wa family , hata kama ni mzuri kama malaika huyo hafai.

Ndugai na Ccm yake wamehakikisha hao kina mama wanapoteza majimbo yao . Sasa Leo uema wa ndugai unatoka wapi kwao ?!
Kamwe hamutasahau kipigo cha mbwa koko mlichokipata kutoka ccm mwaka 2020 hadi wakina mama na dada zenu kuwakimbia na wengine wenu kukimbilia nchi zingine mbali mbali. Yaani kipigo mlichokipata hakijawahi kutokea kwingine duniani. Yaani hadi huruma. Next time tutajitahidi kupunguza nguvu ya kipigo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom