Taarifa: Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Afanya Mazungumzo na Mbunge wa Viti Maalumu Mheshimiwa Esther Matiko

unamzungumzia huyu dada hapa?
1612966668176.png
 
Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Februari 10,2021 Bungeni Jijini Dodoma.

Mhesh Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema na kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime.

Chanzo: : Ofisi ya Waziri Mkuu

Cdm haina mwanachama anaitwa Esther Matiko.
 
Kuna maajabu gani na wote ni wabunge wa viti maalum CCM hapo. Mmoja aliingia Bungeni kwa kupita bila kupingwa mwinge ni kwa mgongo wa Ndungai.
Ukweli ni kwamba wabunge wooote katika bunge la Jamhuri ni "Wabunge wa Kuteuliwa".

Ni mbunge yupi anayedai ameshinda ubunge kwa kupata kura nyingi za wananchi!
 
Kwa nini matusi?
Kama hamuitambui serikali iliyopo madarakani si muhame kama wenzenu Tundu na Lema, muwe wakimbizi tu.
Muwaache hao akina mama wachape kazi, acheni fitna,uchoyo na roho mbaya hapa.
Madeni noma!!
 
Naiona nchi yangu ikiongoza kwa sarakasi duniani 🤣 🤣 🤣 😂 😂 😂

1612972974550.png
 
Nadhani siyo sahihi kuendelea kuwaita wabunge kupitia chadema wakati unajua wakishafukuzwa uanachama na hivyo kukosa uhalali wa kuwa wabunge. Itendeeni haki chadema na.kuheshimu maamuzi ya yao. Nashauri wake wote tunaowataja wabunge hawa tuwatafutie namna nzuri ya kuwatambulisha.
Napendelea watambuliwe wabunge wa spika,au wakiopatikana kwa kuvunjwa katiba.
Ama wabunge maalumu wa bunge la jamhuri. Hawa hawawakikishi chama ,jumbo, wala si wabunge wateule wa Rais. Badala yake tungemuambia spika na Rais Magufuri watuambie kwa nini wameamua kuwawafujaji ,wabadhirifu wa pesa za watanzania kwa kuwalipa wabunge wasiokuwa na sifa ya kuwa wabunge?
Heahima gani jomba wakati ruzuku tunapokea vizuri Tena inayotokana na wabunge hao...wewe ni Nani kuhoji haya
 
Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Februari 10,2021 Bungeni Jijini Dodoma.

Mhesh Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema na kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime.

Chanzo: : Ofisi ya Waziri Mkuu


View attachment 1699196

Upuuzi Mtupu!! PM akiwa Bungeni huwa anaongea na wabunge wengi tu lakini hatujawahi kusikia taarifa sasa sijui huyo matiko ana nini special?
 
Kwa nini matusi?
Kama hamuitambui serikali iliyopo madarakani si muhame kama wenzenu Tundu na Lema, muwe wakimbizi tu.
Muwaache hao akina mama wachape kazi, acheni fitna,uchoyo na roho mbaya hapa.

Kama michango ya watu inakukera hama nchi punguza kubweka hapa.
 
Back
Top Bottom