emmakisaro
Member
- Jul 27, 2016
- 15
- 9
naomba kuuliza kwa mfano nimechaguliwa UDSM kutokana na ada yake kwa hiyo kozi niliyochaguliwa kuwa kubwa nikataka kwenda labda SAUT, natakiwa niandike barua kwenda SAUT pasipokuomba tcu au maana cjaelewa bado au nini natakiwa kufanyaMkuu mtoa uzi tunashukuru mana vyuo vingine Ada hatar ila tcu bora walivyosema kupeleka barua chuoni hakuna kulipia tcu
Hii inanihusu kivyovyote yan maana kile chuo cha tumain cna ham nacho ata kidogoHII NI TAARIFA KWA WALE AMBAO WANAHITAJI KUHAMA KUTOKA CHUO KIMOJA KWENDA CHUO KINGINE KWA WALE UNDERGRADUATE FIRST YEAR TAARIFA IPO HAPA
Nimechaguliwa LLB Tumaini Dar,pia nataka kuchange.Bahati mbaya file la maelekezo kipo kwenye pdf halifunguki kwangu.naomba mnifafanulie naandika barua kwenda chuo chochote nataka?Hii inanihusu kivyovyote yan maana kile chuo cha tumain cna ham nacho ata kidogo
Unaandika barua kwenda katka chuo ambacho unataka kuhamia. Na wamesema inatakiwa kuwepo na nafas ya kuhamia chuo husika vile vile uwe na vigezo katka iko chuo na iyo course unayohamia.Nimechaguliwa LLB Tumaini Dar,pia nataka kuchange.Bahati mbaya file la maelekezo kipo kwenye pdf halifunguki kwangu.naomba mnifafanulie naandika barua kwenda chuo chochote nataka?
Poapoa mkuuUnaandika barua kwenda katka chuo ambacho unataka kuhamia. Na wamesema inatakiwa kuwepo na nafas ya kuhamia chuo husika vile vile uwe na vigezo katka iko chuo na iyo course unayohamia.
Na kushaur uwapigie cm chuo husika kama wana nafas then wakiaccept una send application letter.
Kwel bhana tuhame tumain wanazingua alaf ukizingatia n chuo cha dini et
Ni kweli mimi nilichaguliwa hapo mwaka jana ila ada ilinitoa kamasi sikwenda hata kuripotiHii inanihusu kivyovyote yan maana kile chuo cha tumain cna ham nacho ata kidogo