Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Yale yale mambo yenu ya kugalagaza demokrasia kwa kuwa SUBJECTIVITY iko ndani kabisa ya damu ya CCM, how comes mwenyekiti anachagua wajumbe wake kumi kama sio mipango ya mwenyekiti kutaka kuweka watu wake wakati wa chaguzi za chama. Hao 10 wa mwenyekiti wana power ya kupiga kura? Mbona wale 10 wa bungeni huwa anakosa wa kuwaweka na hata akiweka anafuata uswahiba au udini, je hamjaona kuwa hii tabia haijengi demokrasia? Jengeni chama chenu kuwa cha kidemokrasia sio cha kubebana nyie maghamba, tunakoelekea watanzania wanakuwa na uelewa zaidi na ndio wanazidi kukichukia chama chenu