TAARIFA: Slaa alikuwa Katibu wa CHAMA kisha Balozi (Utumishi wa Umma)

Anatoka kanda pendwa?
let wait na mnaosema magufuli ni mkabila sio kweli bali nafasi hizi hutolewa kutokana na uwezo wa mtu Dr slaa keep on nafasi hii inakustahili nadhani pia itaweka mizania sawa ya kiuongozi na kiutawala
 
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Nadhani sio kila balozi ni mtumishi wa umma. Ndio maana wako wanaoteuliwa moja kwa moja kutoka kwenye sekta binafsi ( kuna yule dada mwanasheria), wanasiasa ( kutoka uwaziri, ukuu wa mkoa, mwanajeshi n.k.). Hawa watakuwa na wadhfa wa balozi lakini sio cheo cha balozi. Mabalozi ambao ni watumishi wa umma ni wale ambao ni Foreign Service Officers. Hawa watakuwa na cheo cha balozi.
Naomba nisahihishwe kama nimekosea.

Amandla...
 
Hujajibu ulicho ulizwa
 
Upo sahihi
 
... kwamba hujui hoja inayojadiliwa kwenye mitanadao au umeamua kujitoa ufahamu? Unlike ubalozi ambao mtu yeyote anaweza kuteuliwa, CS (mkuu wa utumishi wa umma) anatakiwa kuwa na sifa za ziada kumfanya kuteuliwa CS ambazo hata Slaa hapo alipo leo hii hana!
 
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Mbona huwa unajichanganya sana wewe? Ni kutokuelewa au ni nini? Watu wanalalamika kuwkwa nini ameteuliwa kuwa balozi au kwa nini ameteuliwa kuwa katibu kiongozi? Mimi naona ni vitu viwili vilivyo tofautu hapo! Jingine. Tuseme ni kweli uko sahihi: Je kosa kama lilitendwa na kwa sababu moja au nyingine watu hawakulalamika basi linakuwa limefungua njia ya makosa mengine kuendendelezwa? Hizi ndizo akili za ''watu wetu''
 
Issue sio kuwa Balozi, ila ni kuwa KMK
 
Precedence
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom