TAARIFA: Slaa alikuwa Katibu wa CHAMA kisha Balozi (Utumishi wa Umma)

Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Balozi siyo utumishi wa umma jiulize Slaa kateuliwa kuwa Balozi akiwa na miaka mingapi? Je alikuwa bado anaweza kuwa penshenable? Je alipata ajira ya kudumu?
 
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Mbona Makosa ndio haya haya sasa wangepinga nini tumia Akili
 
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Hilo kosa la kipindi hicho halihalalishi kosa la Sasa. Hizi sio hesabu za hasi na chanya kwamba Ukichukua hasi x hasi = chanya.

Pili watu hawahoji ubalozi wake, bali U-Katibu Mkuu Kiongozi. Elewa mada iliyopo Kwanza.
 
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?

..balozi huwa anawakilisha Tz nje.

..au anakuwa mkuu wa idara mojawapo wizara ya mambo ya nje.

..sasa Dr.Bashiru alitumikia wapi mpaka umuite mtumishi wa umma?

NB:

..pia alipoteuliwa Dr.Slaa hakukuwa na malalamiko kwasababu wako mabalozi ambao ni civil servant/career foreign service officer, na wako mabalozi "political apointees" ambao huteuliwa toka uraiani.

..Raisi Kikwete aliwahi kumteua Naibu Katibu Mkuu CCM Captain.Jaka Mwambi, kuwa balozi wa Tanzania Urusi. Teuzi za namna hiyo huwa hazina matatizo.

.
 
Ubalozi kwa nchi za kiafrika ni ceremonial posts tu na yeyote aweza kupewa hiyo nafasi! Wakubwa wakiona ukiwa karibu unakera basi unatupwa kwenye ubalozi huko na haina madhara!! Wengine hupewa hizo nafasi kama kulipa fadhila fulani!! Dr Mihogo alipata nafasi hiyo katika mazingira hayo !
 
Back
Top Bottom