TAARIFA SAHIHI JUU YA MWIMBAJI QASWIDA ARAFA ABDULLAH

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,606
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai ama Laa....Vipi haimbi tena kama yu hai.....Ramadhani hii anatuacha hivihivi...COME BACK....
 
87d6181e07229266f589f38bd64097d3.jpg
miss u
 
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai ama Laa....Vipi haimbi tena kama yu hai.....Ramadhani hii anatuacha hivihivi...COME BACK....
Yupo mkuu,ingia website ya wasafi.com utazikuta nyimbo zake....yupo na afya njema kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom