TANZIA: Rtd Major General Anatoli R. Kamazima amefariki dunia

Daaah....mara ya mwisho nilikutana na Mheshimiwa Mstaafu huyu kwenye Pub moja karibu na Winding Avenue........daaah....RIP General Kamazima......poleni sana wana familia na ndugu wote.........
 
Huyu mzee aliwahi kuwa na cheo kikubwa sana jeshini kabla hajaingia PCB (sasa PCCB), hivi anauhusiano wowote na yule aliye kuwa mkuu wa jeshi Rwanda? kama wanauhusiano, basi Tanzania tumekwisha, Watsi na Wahutu everywhere, na hawa jamaa ni hatari kweli linapotokea suala la vita, kama wakuu hamuamini waulizeni Wacongo hasa waishio maeneo ya Katanga, Kasanga, Lubumbashi Goma n.k.
 
Tatizo Watanzania wote ni kama tumelogwa, tunadhani kuwa Warundi tena Wahutu ndo hawatakiwi kuwa raia wa Tanzania wala kupewa uraia.Sijawaisikia mtu akisema kuwa Mnyarwanda sio raia na tunao Wanyarwanda wengi kwenye system mpaka kwenye vyombo vya kutoa maamuzi lakini utaskia aaa yule ana asili ya Rwanda shenzi kabisa kwani kama ana asili ya Rwanda ni raia? Rest in peace Rtd Major General Kamazima, uwe Mrundi, Mnyarwanda, Mhutu au hata Mtusi heri yako umelitumikia taifa kwa uadilifu kuliko huyo anaejiita eti ni raia wakati ni fisadi wa mwisho

waambie mkuu mbona kuna wahindi waarabu na wasomali kibao wamejaa ndani ya system na wengine hata kiswahili fasaha hawajui kuongea lakini wako bungeni
 
Mwenyezi Mungu akuangazie Mwanga wa MILELE Gen. Anatory Ruta Kamazima (mtoto aliyezaliwa kuwa mkweli)...!

Anayehoji U-RAI wa AR Kamazima ni mwendawazimu kama wendawazimu wengine...!

Anayehoji U-Tendaji kazi wa AR Kamazima ni mnafiki kama wanafiki wengine...!

AMEN
 
Huyu mzee aliwahi kuwa na cheo kikubwa sana jeshini kabla hajaingia PCB (sasa PCCB), hivi anauhusiano wowote na yule aliye kuwa mkuu wa jeshi Rwanda? kama wanauhusiano, basi Tanzania tumekwisha, Watsi na Wahutu everywhere, na hawa jamaa ni hatari kweli linapotokea suala la vita, kama wakuu hamuamini waulizeni Wacongo hasa waishio maeneo ya Katanga, Kasanga, Lubumbashi Goma n.k.

Kwanza RIP General Kamazima - Bwana alitoa, Bwana amechukua.
back to the GT Mazindu: jamani mbona kiwango cha ignorance kinazidi kuongezeka katika kizazi kipya ama zama hizi za sasa! Ama tunahitaji kulifanyia ukarabati somo la historia ya Afrika katika viwango vyote vya elimu. Ninaamini GT Mazindu amepata aina fulani ya elimu- kama sio msingi basi sekondari au chuo - lakini kwake jina la Mtanzania kufanana na la Mnyarwanda basi hapo uraia wa mtu unawekewa mashaka. GT Mazindu unaweza hata kujielimisha kwa kutumia keyboard yako hii hii uliyotumia kuelezea ignorance yako. Keyboard isitumike tu kusoma na kuchangia JF. Google kitu inaitwa 'interlacustrine states' utaweza kupata fununu. Kabla ya ukoloni hizi states zilikuwa na utamaduni mmoja ikiwa ni pamoja na lugha, majina, utawala, nk. Wakoloni walipogawana Afrika ndipo tukapata hivi vitu unavyoviona leo kama Tanganyika, Uganda, Rwanda, nk ambapo baadhi ya watu wa utamaduni mmoja waligawanywa katika mataifa hayo mapya. Nime-google na kupata maelezo mafupi kwa kukusaidia tu:
Mimi ni kijana wa zamani. Enzi hizo hii ilikuwa ni topic ya Historia kidato cha kwanza. Sasa hivi siwezi kujua kama bado inafundishwa au la.
"Interlacustrine states
The area of the north, west and southwestern shores of Lake Victoria as far as
Lake Kivu and the eastern parts of Congo-Kinshasa were inhabited by a group of
kingdoms where the languages were closely related varieties of Bantu. The
largest of course was Buganda, followed by Rwanda and Burundi. As well as these
three large kingdoms were several smaller ones: Ankole, Bunyoro, Butoro, Buhaya
(in Tanzania)."

Inna lillahi wa inna illahi Rajjunn! Mungu alaze roho ya marhem mahala pema
Lala salama Mzee Kamazima, our prayers and thoughts are with you and your entire family.
 
ndio kwanza namsikia jina kama la rwanda au burundi
RIP

Kuna tatizo hapa! Eti hoo jina la Kirundi au Kinyarwanda mara nnini eti... Inaelekea kuna watu hawajui Tanzania vyema. Mathalani Mhaya wa asili mia kwa mia anaweza kuwa na jina linashabihana na la Kiganda au Kirundi.. Lakini mtu ajue Waganda, wanyarwanda au Warundi SI WAHAYA. Wanatofauti za msingi ila tu wana jambo moja ni wabantu..hivyo hivyo Wamakonde wa nchumbiji, Wajaluo wa Tarime na Kisumu, kunatofauti jamani.. Ujinga unaojitokeza kwa baadhi ya wachangiaji ni matunda ya elimu fasta fasta na kujifanya wa mjini sana... ```

Kalale pema peponi Kamanda Anatori Kamazima.
 
Kwanza RIP General Kamazima - Bwana alitoa, Bwana amechukua.
back to the GT Mazindu: jamani mbona kiwango cha ignorance kinazidi kuongezeka katika kizazi kipya ama zama hizi za sasa! Ama tunahitaji kulifanyia ukarabati somo la historia ya Afrika katika viwango vyote vya elimu. Ninaamini GT Mazindu amepata aina fulani ya elimu- kama sio msingi basi sekondari au chuo - lakini kwake jina la Mtanzania kufanana na la Mnyarwanda basi hapo uraia wa mtu unawekewa mashaka. GT Mazindu unaweza hata kujielimisha kwa kutumia keyboard yako hii hii uliyotumia kuelezea ignorance yako. Keyboard isitumike tu kusoma na kuchangia JF. Google kitu inaitwa 'interlacustrine states' utaweza kupata fununu. Kabla ya ukoloni hizi states zilikuwa na utamaduni mmoja ikiwa ni pamoja na lugha, majina, utawala, nk. Wakoloni walipogawana Afrika ndipo tukapata hivi vitu unavyoviona leo kama Tanganyika, Uganda, Rwanda, nk ambapo baadhi ya watu wa utamaduni mmoja waligawanywa katika mataifa hayo mapya. Nime-google na kupata maelezo mafupi kwa kukusaidia tu:
Mimi ni kijana wa zamani. Enzi hizo hii ilikuwa ni topic ya Historia kidato cha kwanza. Sasa hivi siwezi kujua kama bado inafundishwa au la.
"Interlacustrine states
The area of the north, west and southwestern shores of Lake Victoria as far as
Lake Kivu and the eastern parts of Congo-Kinshasa were inhabited by a group of
kingdoms where the languages were closely related varieties of Bantu. The
largest of course was Buganda, followed by Rwanda and Burundi. As well as these
three large kingdoms were several smaller ones: Ankole, Bunyoro, Butoro, Buhaya
(in Tanzania)."

Umetoa darasa,lakini ni wangapi wanajali kujiongezea maarifa?! Mimi naamini mitaala ya elimu ya vijana wetu imekua hovyo sana,sasa tunazalisha mambumbumbu kibao!
 
Hayati Maj. Gen. Kamazima alikuwa mtu wa watu, uadilifu wake katika utendaji jeshini na serikalini hauna maswali. Wanaombeza wasamehewe maana hawajui walitendalo.

Late Maj. Gen. (Ret) Kamazima hakuwa na roho mbaya na uchawi kama Chiligati, hakuwa na ubinafsi kama Issa Machibya, hakuwa mpenda rushwa kama EL, hakuwa mnafiki kama Sitta, hakuwa mwenye majivuno ya utendaji kama Magufuli, hakuwa na kiburi cha uzima kama Serukamba, hakuwa msema hovyo kama Nape, hakuwa king'ang'anizi cha madaraka kama Lipumba, hakuwa msaliti kama Maalim Seif/John Shibuda, hakuwa mtu wa kulaumiwa kwa kila jambo kama Ngeleja.

Alikuwa mpole, mcheshi na mnyenyekevu wa moyo.
 
Dah !! Mkuu umetoa wasifu wa Viongozi wetu . Salute!
 
Back
Top Bottom