Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Hata uzinduzi wa chanjo ulipaswa ufanyike Dodoma ambako ndiyo makao makuu ya nchi, pia serikali yote ipo kule
 
ukisikia KIMEO, basi ndio hiki. Bado sijaelewa hadi sasahivi kitu kilichofanyika zaidi ya kuleta chanjo za kishwetani jamani
 
Hakuna mtu aliyeiharibu nchi hii kama Magufuli, hata hayo unayoona kama amefanya ni kwa sababu aliikuta nchi kwa namna fulani ina akiba ya fedha, yeye akafuja, akakopa kwa fujo na kuifilisi nchi kwa mamiradi yasiyo na tija.
Huyu anaonekana kama hafai kwa sababu ameikuta nchi imechakazwa na kuharibiwa kabisa, ni kama anaanza na moja.
Tumpe miaka mingapi 100? ngoja tuendelee kuupiga hadi tuelewane yani

Sent from my SM-P901 using JamiiForums mobile app
 
SASA BARAZA LA MAWAZIRI KWANINI LILIFANYIA KIKAO DODOMA IKIWA LEO RAIS ANAREJEA DODOMA? MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WOTE WAKO DODOMA SASA KWANINI WALIITWA DAR IKIWA LEO RAIS ANARUDI DODOMA? HIVI KWELI WASHAURI WA RAIS WANAFANYA KAZI VYEMA?
Huyu hamna kitu. Bora akina Bashiru wangefanikisha tu ule mpango. Anything than this could have been better
 
Huku Mbeya tutaanza kumuita Mwakasafari au Mwakachanjo,She has failed sooner than later, Presidency needs best brain,
 
Hako kamji kenye tracoma hakana maana kabisa ni kichaka cha mwendazake alichokua anajificha kutokana na complication zake za moyo na malukanga, hakuna umuhimu wowote wa watu kukaa huko ndioomaana wanakaa siku mbile kesho wako Dar kiufupi hapakaliki
 
... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

Soma hii Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!
Sioni kama suala hili umelitolea maoni baada kufanya uchambuzi na tafakari ya kina !Kwani unafahamu walichokuwa wanakijadili?.Kwa nini iliwapasa kuwa hapo kwa tarehe hiyo na Kwa nini Mama anarejea Dom ?

Muache Mama achape Kazi.

ARTICLE.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
Hivi familia ya Magufuli wakionaga hizi picha wanajisikiaje ....... Maana hakuna mtu aliyejitokeza kumshauri waziwazi kuhusu Corona leo wote wameacha kujifukiza wamehamia kwenye barakoa na chanjo ......!!
 
Hivi Ile ndege ya Rais aliyonunua Mkapa,ama vibua msafara wa mkuu hautoshi naona Mara zote yupo na dege kubwa!?
Poor reasoning juzi mawaziri wamekimbizana to Dar, kikao Jana leo wanarejea Tena!?
Walikua msibani mawaziri dar
 
ukisikia KIMEO, basi ndio hiki. Bado sijaelewa hadi sasahivi kitu kilichofanyika zaidi ya kuleta chanjo za kishwetani jamani
Kwani mtu mnampima kwa miezi kadhaa? Hamumtendei haki tusubiri 06/2025 tupime aliyoyafanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom