Taarifa: Rais Dkt John Magufuli ashiriki Misa Katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita

Zamani raisi akienda kanisani au msikitini kuswali tulikuwa hatutangaziwi.endeleeni kulamba makalio
 
Mafundisho yanatuasa ni Heri kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu.Kwa Mungu unataka kwa shetani unataka
 
Hahaaaa
Nimeambiwa na Nyerere alikuwa muumini sana wa Ibada, ilifikia kipindi ratiba yake ilikuwa ni Ofisini - Kanisani

Lakini sijawahi ona picha zake au press ya kuonesha yuko Kanisani.

Labda kwa kuwa Technology ilikuwa duni kuliko zama hizi.

By the way, Hongera Mhe. Rais kwa kwenda Ibadani kila Jumapili hopefully ile dream yako ya kuwa kiongozi wa malaika huenda ikatimia, manake anatia bidii Sana kwenye kusali
 
Nasi twamwombea sana. Ila rais ajue kuna dhambi Mungu hasamehi: zile zinazohusu haki za watu- kuuwa, kunyang'anya mali bila haki!
 
Mungu abagui kwenye hukumu vyeo,utajiri ni vya duniani.Ni ngumu kumpenda Mungu Kama unawatenda waja wake
 
Hayati Mwl Nyerere kila siku kabla ya kuanza kazi alikuwa ana sali St Peters pale Oyster Bay na haikuwa habari
Nyie kile jumapili na Magu makanisani mkiona hiyo ndio habari
Bunkum
 
Hakuna sababu ya kusema Mwl JKN hakuwa anajitangaza anapoenda kanisani sababu teknolojia ilikuwa duni. Ukweli ni kuwa hakupenda misifa ya kishamba. Mamana Rtd ilikuwepo lakini hatukisikia huu uchuro.
Yani siyo uchuro tu ni
Ni kweli kabisa, ni mtumishi wa wa Congo. Japo ni Rais wa Tanzania. Ana ndugu yake Belgium.
Hafai kuwa Rais kwasababu hajui kiingereza wakati phd kaisomea kwa kiingereza

Kamoooonn
 
Back
Top Bottom