Taarifa ni software ya maisha

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
763
Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu:
  • masomo shuleni
  • stori kijiweni
  • habari magazetini
  • mahubiri ibadani
nk.

Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe.
Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda.
Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna inayotufaidia.
Kama taarifa ni ya uongo; tutatenda kwa namna inayotupa hasara.

Nimesoma taarifa hii, nikasema mmh:

Nikasema Pole ndugu yetu.
Nayo yatapita;
Ila yatapita na wengi.
 
Mkuu Teleskopu, kizuri kula na nduguyo, sasa hii taarifa si iko kwa langweji ya mama? asa nduguzo tutaarifika vipi, hebu fanya mpango wa kuitransleti nasi tutaarifike.
Sawa mkuu AbouZakariya asante kwa kuuliza. Nafanya hivi kwa sababu nikiweka kama ilivyo zinafutwa. Lakini inasema hivi - Huyu ni nesi aliyefanya kazi kule Nashville Marekani kwa miaka 24 sasa. Anasema I can tell you first hand that there definitely IS a medical conspiracy going on, yaani: Naweza kuwaambia kutokana na niliyopitia mwenyewe kabisa kwamba KUNA siri inayoendelea kwenye idara ya afya.
Anasema: Tuliwaamini wakubwa zetu lakini nimegundua kuwa wamekuwa waongo kabisa. Wamekuwa wakijadili (suala la chanjo) kwa data zilizopotoshwa. Wanatuambia tuwape watu dawa ya Remdesivir, wakati ilishaua wagonjwa wengi wa ebola. Madhara mengi sana ya chanjo hayatajwi. Lakini mimi nimeyasoma yote.

Hicho ndicho anachosema mkuu Abou.
 
Ahsante, sasa mimi na baadhi ya nduguzo tushataarifika japo kwa ufupi.
 
Back
Top Bottom