Taarifa: Ndoa ya MtotoSix na CharmingLady itafungwa kwa Siri

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
uamuzi huu mgumu umefikiwa baada ya kuibuka kundi wafuasi wa wakati ndio sasa kuhakikisha ndoa haifungwi, kwani tangu nilipotangaza nia ya kumchukua charminglady imefikia hatua tumetumiwa sms za kutishiwa maisha kama tutaendelea na utaratibu, wapo waliojitokeza kudai ni wake zangu, wapo wanaodai mimi ni mkimbizi, wapo wanaodai mimi na mchumba wangu ni ndugu, ilimradi kila mtu aseme analotaka kusema.... sasa kwa taarifa yenu tunaisogeza tarehe ya kufungwa ndoa ili iwe mapema zaidi kwani daktari MziziMkavu amethibitisha kuwa mimi si mgumba kwani tayari bibie anakitu cha miezi miwili...
 
Last edited by a moderator:

:biggrin1::biggrin1: nasikia kuna dogo mmoja hapa ashatumwa aende mabwepande sijui wanataka wakutayarishie makazi pale?
 
mhh! Sijui nitaalikwaa
images
 
Sasa haitafungwa kwa siri tena coz ushatangaza ulitakiwa uje kutahabarisha kwamba tayari imefungwa kwa siri kwa mtaji wataendelea kuvizia hadi siku ya harusi
 
my huz MtotoSix bora tufanye hvo tu ndo solution!

mwanangu kipenzi charminglady, umeamua kweli kufunga ndoa kwa siri na huyu MtotoSix ambaye hata kufikwa kutuona wazazi mie mama yako na baba yako watu8 tumesubiri ugeni na hao ndugu bila mafanikio, kikubwa kasema tayari una ujauzito wa miezi miwili, mwanangu charminglady umevunja amri bila sakaramenti ya ndoa,au ndo mambo ya shake well before use??? Tunajipanga kukufanyia kitchen party na wenzio sweetlady, cocico, na wengine wengi watakuwepo
 
mama, sio kwamba ninapiga chenga kuja kwako mama, nimemuambia mwenzangu, kuja kwa wazazi sio jambo dogo, lazima kujipanga ili tuweze kuja na vizawadi vya hapa na pale...! mama mzaa chema kweli nashukuru kwa kukufahamu, nadhani sasa tutaweza kuja baada ya mwanasheria wetu kukamilisha mashauri ya watu wasiotaka hii ndoa ifungwe
 
nimeshaongea na mama na ameelewa, so worry out my huz 2 b. . . plz cum ths way nahitaji kumbatio lako! xoxoxoooo. . .
 
mwanangu kipenzi charminglady, umeamua kweli kufunga ndoa kwa siri na huyu MtotoSix ambaye hata kufikwa kutuona wazazi mie mama yako na baba yako watu8 tumesubiri ugeni na hao ndugu bila mafanikio, kikubwa kasema tayari una ujauzito wa miezi miwili, mwanangu charminglady umevunja amri bila sakaramenti ya ndoa,au ndo mambo ya shake well before use??? Tunajipanga kukufanyia kitchen party na wenzio sweetlady, cocico, na wengine wengi watakuwepo

mama usipate hofu kabisa, huyu kijana nimeshaongea naye faragha anaonekana ana busara sana, tumpokee tu awe kijana wetu...masharti yote ya mila na kabila letu nimeshamwandikia notsi....nasisitiza tena ndoa hii tutaifanya kwa siri sana na wala hamtafahamu eneo isipokuwa kwa wale wageni wachache sana waalikwa...
 
measkron usiwe na wasi ntakuwepo afu pia ntajitolea madera kwa wote watakaokuwepo............kungwi ni gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
mama usipate hofu kabisa, huyu kijana nimeshaongea naye faragha anaonekana ana busara sana, tumpokee tu awe kijana wetu...masharti yote ya mila na kabila letu nimeshamwandikia notsi....nasisitiza tena ndoa hii tutaifanya kwa siri sana na wala hamtafahamu eneo isipokuwa kwa wale wageni wachache sana waalikwa...
Ahsante mume wangu kipenzi watu8, unefanya kazi nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom