Taarifa muhimu kutoka Wizara ya ardhi

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepokea rasimu ya mpango kabambe wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma

Wizara hiyo kazi yake ni kuharibu Miji yetu badala ya Kupanga kwanza Miji kwa kuweka huduma mbalimbali km. Maeneo ya Wazi Shule na Masoko,Barabara Pana lakini Wizara imeamua Kurasimisha Maeneo ya wananchi kama walivyojipanga wenyewe bila hizo huduma ,barabara za mita 3.
 
Back
Top Bottom