Taarifa muhimu kutoka Wizara ya Ardhi

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
1134178

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawatangazia wananchi wote waliopewa viwanja katika eneo la Pemba Mnazi kukamilisha malipo ya viwanja kabla ya Julai 31 2019.

Kwa wananchi ambao watashindwa kukamilisha malipo kwa muda uliotolewa viwanja vyao vitagawiwa kwa waombaji wengine bila taarifa yoyote.

Tangazo hili pia litawahusu wale waliolipia sehemu ya gharama za umilikishaji lakini hawajakamilisha malipo.
 
View attachment 1134178

Naye huyu sasa anakuwa dictator mdogo! Give people time to raise money, au ana ajenda ya kuwapa wapendwa wake!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naye huyu sasa anakuwa dictator mdogo! Give people time to raise money, au ana ajenda ya kuwapa wapendwa wake!

Kama ulishindwa ku raise Money miaka yote huko nyuma nani amekudanganya kuwa leo ndiyo itawezekana?
 
I can see you are just proving to me how Puerility if not Fatuity you are.
These bombastic words do not deny the reality that your momma knows that I am not so!
Bombastic words: using long and difficult words, usually to make people think you know more than you do:
 
Do you even know the meaning of those Grandiloquent words?
 
Nakwambia maneno magumu hayabadili ukweli. The truth stands forever! Mimi sikusima literature, I am a chemist/immunologist by profession......haya na wewe hili unalijua!.....Paraaminobenzene-sulfonamido-isopropyl-thiadiazol
Kijana, next time do not use abusive language, you will be tackled accordingly!
 
Please when you stop being this nincompoop you will let me know okay?
 
I am telling you, searching for long words in the google search engine does not mean that you know more and more about less and less! It does not change the truth I have told you!
 
For how long have you been this Jerky?
 
Back
Top Bottom